Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Lowasa anashinda bila ya tabu yeyote ile tena kwa kura nyingi sana,hizi ni rasha rasha tu mvua inakuja,kura za Unguja zina matatizo ,ila tulieni ,msomeni sana Lubuva anaposema wanancchi watulie ndio kwanza majimbo kumi tu ,kubwa lijalo !
Natamani sana kumuona huyu kamanda mtiifu kwa laigwanani.naomba umfikishie Salam zangu huko alikojificha.MUSSA ALLAN sijui huko hana hali gani naona yupo kwenye ban pole kamanda kama unanisoma.
Kwanini unakata tamaa mapema namna hii kamanda? Tupigane vita hii mpaka mwisho laigwanani anaweza kushinda teh teh tehsijakata tamaa lakini naumia sana, lowasa kasema "No alternative" baada ya hao makamanda kukamatwa, je kweli tutegemee kushinda kwa haya matokeo yanayotangazwa na tume???, kwajuwa mimi nina moyo mgumu, na nimekua kisaikolojia ntavumilia, je wale wasiokua na uwezo vkama mimi, si ndo wata give up?
22. Peter msigwa cdm iringa
23. Tandahimba limekwenda cuf
24. Njombe kulijibu ccm
25. Mnyika cdm
26. Gekul cdm
27. Mutungirehi cdm
28. Prof. J cdm
29. Makambako ccm
30. Wangingombe ccc
31. Lupembe ccm
yaaap wamebebana sana baada ya miaka mitano wajiunge woteeee viwe vyama viwili tu. Coz ccm niwagumu sana
Katika uchaguzi huu bara Cuf imepata bonge la lift.