Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Lowasa anashinda bila ya tabu yeyote ile tena kwa kura nyingi sana,hizi ni rasha rasha tu mvua inakuja,kura za Unguja zina matatizo ,ila tulieni ,msomeni sana Lubuva anaposema wanancchi watulie ndio kwanza majimbo kumi tu ,kubwa lijalo !

Duh Mna moyo wa kujifariji hatari nyie wana ukawa!
 
Mbowe,Mbatia na Lissu wamerejea bungeni..Nimejiridhisha kuwa uchaguzi haupo huru na haki.Hata NEC inatambua hilo.Tunachezewa rafu na hakuna msaada.Tumewaumbua na tutazidi kuwaumbua.....ila nimefarijika kuona Makamanda Mihimili ya Upinzani ikirudi bungeni,tena timu imekuwa kubwa sana kiasi cha kwamba kama CCM watang'ang'ania ikulu,UKAWA itaweza kuimarika zaidi na kuweza kuisimamia serikali vyema.Hivyo basi wajipange kutimiza ahadi zao kwa 100%.
 
Kwa kawaida Mungu hubakiza watakaokuja kusimuliwa wengine. Rejea hadith ya Ayoub alivyokuwa anasambaratishwa lakini wa kupeleka taarifa alikuwa anabakizwa
 
Kwa wananchi hawa mkuu, Tz bado tuna safari ndefu sana, yaani hata sijui, na mimi kuanzia leo nije nisikie ninapokwenda kijijini, watu wana kuja kunililia shida zao, nitaua mtu, eti kataa zote magamba wamechukua,
 
Kamanda mkuu Lowassa anafanya press conference za mwisho mwisho arudi kuchunga ng'ombe kijijini monduli.Makamanda mmepigwa na butwaa bado mtaisoma vizuri namba.
 
Ooh mara tumeibiwa! mbona makwepa ukweli Vumilieni tu hata kama inauma ndiyo hivyo hivyo
 
MUSSA ALLAN sijui huko hana hali gani naona yupo kwenye ban pole kamanda kama unanisoma.
Natamani sana kumuona huyu kamanda mtiifu kwa laigwanani.naomba umfikishie Salam zangu huko alikojificha.
 
Last edited by a moderator:
sijakata tamaa lakini naumia sana, lowasa kasema "No alternative" baada ya hao makamanda kukamatwa, je kweli tutegemee kushinda kwa haya matokeo yanayotangazwa na tume???, kwajuwa mimi nina moyo mgumu, na nimekua kisaikolojia ntavumilia, je wale wasiokua na uwezo vkama mimi, si ndo wata give up?
Kwanini unakata tamaa mapema namna hii kamanda? Tupigane vita hii mpaka mwisho laigwanani anaweza kushinda teh teh teh
 
Umeme arusha ndo kwa?za mgao unaanza Kwa jinsi tulivyowachinja ila watashindwa tu
 
Mpaka sasa kuna tetesi kua tayari wabunge zaidi ya 10 yako CUF upande wa bara, kilichobaki ni kuthibitishwa tu! Sasa waliosena UKAWA inaua CUF pole yao, Pole Lipumba.
 
yaaap wamebebana sana baada ya miaka mitano wajiunge woteeee viwe vyama viwili tu. coz ccm niwagumu sana
 
22. Peter msigwa cdm iringa
23. Tandahimba limekwenda cuf
24. Njombe kulijibu ccm
25. Mnyika cdm
26. Gekul cdm
27. Mutungirehi cdm
28. Prof. J cdm
29. Makambako ccm
30. Wangingombe ccc
31. Lupembe ccm

32.temeke cdm
 
Back
Top Bottom