Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Kesho ni siku ya kihistoria kwa siasa za upinzani Tanzania.

Muumba mbingu na ardhi ameitika vilio vya wanaodhalilishwa, kukejeliwa.

Historia mpya imeshaandikwa na kesho kwa uwezo wa mfalme wa mbingu na ardhi na vilivyomo ndani yake Firauni anaangamizwa. Mussa aliyeyelewa katika nyumba ya Firauni analeta anguko la Firauni.

Tuitikie Ameeen.
 
Hivi nani katuroga! !!!

Hakuna alierogwa. Kosa lilianza pale walipojidai wanaichukia ccm wakataka kuposa hii nchi. Eti bora kufanya kosa la uchaguzi kuliko kuichagua CCM wanajidai bwana UKAWA ni mpango wa Mungu.

Now take that with a piece of Lemon and choke on it.
 

yaani ww nikama toilet paper tu tukuheshimu kwa lipi sasa?
 
Mtaendelea kunyanyasika sana kwa kukosa huduma bora za jamii ikiwemo elimu na afya. Wakati mnaendelea kupigika Magufuli endapo atashinda atakuwa akishangaa kwa nini hospitali hazina dawa, kwa ni elimu ni duni. Atatekeleza ahadi yake ya kufuta ada ya sh.20,000 kwa shule za sekondari za kutwa wakati huo huo bodi za shule zitaongeza michango angalau wapate dawati na chaki.
 
Mdee haamini machoyake. Mpaka sasa wako shule ya Oysterbay anasisitiza kurudiwa kuhesabu matokeo mara ya 4 sasa. Kippi kampita kwa kura zaidi ya 658 dada haamini kuwa harudi mjengoni. Nadhani sasa ni wakati muafaka wa kuingia ACT
 
Mdee haamini machoyake. Mpaka sasa wako shule ya Oysterbay anasisitiza kurudiwa kuhesabu matokeo mara ya 4 sasa. Kippi kampita kwa kura zaidi ya 658 dada haamini kuwa harudi mjengoni. Nadhani sasa ni wakati muafaka wa kuingia ACT

Hata akishindwa kwa tiketi ya Kawe atarudi tu Bungeni kwani tayari mkononi anashikilia tiketi ya Viti Maalum kama Mwenyekiti BAWACHA
 
Mdee haamini machoyake. Mpaka sasa wako shule ya Oysterbay anasisitiza kurudiwa kuhesabu matokeo mara ya 4 sasa. Kippi kampita kwa kura zaidi ya 658 dada haamini kuwa harudi mjengoni. Nadhani sasa ni wakati muafaka wa kuingia ACT
Acha kujidanganya wewe Kippi kaangukia pua alikuwa anafikiri jina la baba yake litamsaidia.
 
Unamaanisha siasa za zanzibar au?
 
1. Moshi Mjini -CDM
2. Moshi vijijini-CDM
3. Rombo-CDM
4. Same Mashariki- CDM
5. Hai -CDM
6. Siha- CDM
7. Vunjo -NCCR
8. Arumeri Mashariki-CDM
9. Monduli-CDM
10. Simanjiro- CDM
11.Karatu -CDM
12. Kawe-CDM
13. Ubungo- CDM
14. Kibamba- CDM
15. Mbeya Mjini- CDM
16. Iringa Mjini - CDM
17. Bunda-CDM
18. Tarime Mjini- CDM
19.Tarime Vijijini- CDM
20. Rorya -CDM
21. Serentei- CDM
22. Bukoba Mijini-CDM
23. Ukonga- CDM
24.Buyungu- CDM
25. Singida Mashariki-CDM
26. Babati- CDM
27. Momba - CDM
28. Tunduma -CDM
29. Tandahimba - CUF
30. Mlimba -CDM
31. Kilombero - CDM
32.Ifakara -CDM
[TABLE="width: 192"]
[TR]
[TD]33. Mtwara mjini-CUF[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]34.Ndanda-CDM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]35. xxxxxi-CDM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]36. Kyerwa-CDM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]37. Tunduma-CDM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]38. Momba-CDM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]39.lupembe-CDM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]40. xxxx-CDM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]41. Tanga mjini -CUF[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]42. Kigamboni-CUF[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]43. Babati vijijini-CDM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]44. Kibondo -CDM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]45. Mchinga-CUF[/TD]
[/TR]
[/TABLE]



Ongeza kwenye List

Jimbo na Chama chake kilichoshinda
 
Tutaheshimiana kwa "uchakachuwaji wa matokeo" na hiyo ndiyo maana ya matokeo halisi ni yale tu yanayotangazwa na tume ya uchaguzi pekee.
 
Majimbo 18 Pemba
Majimbo 7 Unguja
Ndanda
Tandahimba
Mtwara Mjini
Bunyungu
Kigoma Mjini
Ukonga
Temeke
Momba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…