Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Mabadiliko Lowassa, Lowassa Mabadiliko kwa sas ni kaput!

Wapinzani kupata wabunge wengi siyo hoja kwa mtu anayefahamu matakwa ya wananchi wengi wa sasa.

Wapenda Taifa endelevu wengi walitaka wapinzani wawe na Wabunge wengi lakini nafasi ya Rais awe ni Magufuli, ndiyo maana hata matokeo yanabainisha mwendelezo huo.

Urais utaenda kwa Magufuli lakini wapinzani watapata wabunge wengi ukilinganisha na mwaka 2010.
 
Mabadiliko Lowassa, Lowassa Mabadiliko kwa sas ni kaput!

Wapinzani kupata wabunge wengi siyo hoja kwa mtu anayefahamu matakwa ya wananchi wengi wa sasa.

Wapenda Taifa endelevu wengi walitaka wapinzani wawe na Wabunge wengi lakini nafasi ya Rais awe ni Magufuli, ndiyo maana hata matokeo yanabainisha mwendelezo huo.

Urais utaenda kwa Magufuli lakini wapinzani watapata wabunge wengi ukilinganisha na mwaka 2010.

Ni kwel kabisa mkuu, mm mwenyewe udiwani na ubunge Niliwapigia ukawa ili urais ni Dr Magufuri.
 
Mahatma Gandhi katika kitabu chake kiitwacho, The Story of My Experiments With Truth akiwahi kuandika, ''The seeker after truth should be humbler than the dust. The world crushes the dust under its feet, but the seeker after truth should so humble himself that even the dust could crush him. Only then, and not till then, will he have a glimpse of truth''.

Being humble is one of the most important qualities of leadership!

Kuna viongozi wengi tu nchini ambao historia yao katika kulitumikia taifa haina madoa lakini kwa vile walikuwa wanyenyekevu kwa wananchi wao, hawakutaka kukubali kubebwa kama hawa viongozi wetu.

Nilipoziona hizi picha zilinipa maswali mengi sana kuhusu aina ya fikra za viongozi wetu wa kesho nchini. Sikufahamu pia kama kuna watanzania wengi ambao wana uwezo wa kuangalia, kuchuja na kutoa haki kulingana tabia, mwenendo na utendaji wa viongozi wetu.

Picha kama hizi nilikuwa ninaziona wakati wa wakoloni, wafalme wa kale na kwenye utawala wa Idd Amin nchini Uganda. Historia inatuambia viongozi wa aina hii walipotea kisiasa haraka sana!

Inadhihirisha Wananchi wapiga kura wengi hawakupendezwa na aina hii ya viongozi (Wenje & Lembeli) ndiyo maana wameamua kwa haraka kuwastaafisha kisiasa kupitia sanduku la kura.

Kwa fikra hizi ndiyo maana Maandiko ya Mungu yalikemea na kusema, ''ajikwezae hushushwa na ajishushae hukwezwa."

CSQGrYJWwAAkWdB.jpg

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kahama, James Lembeli akiwa amebebwa kama walivyokuwa wanafanya enzi za wakoloni.
wenje.jpg

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Ezekiel Wenje akiwa amebebwa kama alivyokuwa anafanya Idd Amin
 
mwanza tumeamua kusafisha jiji, hatutaki takataka tena.

Poleeni sana Mwanza.
Ukweli ni kuwa hamjasafisha Jiji . Mlichofanya ni sawa na mtu anafanya usafi chumba cha kulala halafu UCHAFU anausukumia chini ya mvungu wa kitanda. Hivo uchafu uko palepale.
 
Mdee sasa mda wake wa kuolewa na kukuna nazi ndani umewadia.Mjengoni hakumuusu tena.Ole wao wale wote wanaogeuza ubunge kama ajira zao za kudumu.Sasa mkatafute kazi nyingine.

Hongera Halima Mdee!!!!!

CHADEMA 107,989 CCM 90,145

Tofauti ya kura 17,844

Sauti ya Zege!✌✌✌✌✌
Bado kata 1


HIYO KATA MOJA SI AMWACHIE TU KAPPA WARIOBA KAMA MCHANGO WA RAMBIRAMBI????
 
Back
Top Bottom