Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabadiliko Lowassa, Lowassa Mabadiliko kwa sas ni kaput!
Wapinzani kupata wabunge wengi siyo hoja kwa mtu anayefahamu matakwa ya wananchi wengi wa sasa.
Wapenda Taifa endelevu wengi walitaka wapinzani wawe na Wabunge wengi lakini nafasi ya Rais awe ni Magufuli, ndiyo maana hata matokeo yanabainisha mwendelezo huo.
Urais utaenda kwa Magufuli lakini wapinzani watapata wabunge wengi ukilinganisha na mwaka 2010.
Babati. Cdm Pauline gekul
Vipi jimbo la Mchinga?
mwanza tumeamua kusafisha jiji, hatutaki takataka tena.
Nisaidieni Salum Mwalimu matokeo yake yakoje?
Mdee sasa mda wake wa kuolewa na kukuna nazi ndani umewadia.Mjengoni hakumuusu tena.Ole wao wale wote wanaogeuza ubunge kama ajira zao za kudumu.Sasa mkatafute kazi nyingine.