Kwedu Kwazu
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 504
- 71
Kuna watu wataingia Bunge kwa Mwaliko na sio tena kama wabunge.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi nani katuroga! !!!
Mimi ni miongoni ya watu ya wachache waliowah kuzomewa sana kisa tu nimetinga uzi wangu wa njano wa kile chama chetu.Mtaani tulikosa raha, barabarani pia, Mungu saidia heshima yetu irudi mtaani maana tumenyanyasika sana,watesi wetu wakuu wakiwa wamachinga, bodaboda na mama ntilie.
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu ibariki Africa
Ahandae...
huku kama tupo Sudan Zenj
Mdee haamini machoyake. Mpaka sasa wako shule ya Oysterbay anasisitiza kurudiwa kuhesabu matokeo mara ya 4 sasa. Kippi kampita kwa kura zaidi ya 658 dada haamini kuwa harudi mjengoni. Nadhani sasa ni wakati muafaka wa kuingia ACT
Acha kujidanganya wewe Kippi kaangukia pua alikuwa anafikiri jina la baba yake litamsaidia.Mdee haamini machoyake. Mpaka sasa wako shule ya Oysterbay anasisitiza kurudiwa kuhesabu matokeo mara ya 4 sasa. Kippi kampita kwa kura zaidi ya 658 dada haamini kuwa harudi mjengoni. Nadhani sasa ni wakati muafaka wa kuingia ACT
Unamaanisha siasa za zanzibar au?Kesho ni siku ya kihistoria kwa siasa za upinzani Tanzania.
Muumba mbingu na ardhi ameitika vilio vya wanaodhalilishwa, kukejeliwa.
Historia mpya imeshaandikwa na kesho kwa uwezo wa mfalme wa mbingu na ardhi na vilivyomo ndani yake Firauni anaangamizwa. Mussa aliyeyelewa katika nyumba ya Firauni analeta anguko la Firauni.
Tuitikie Ameeen.
Ccm imepoteza au imepata zaidi majimbo???Naona majimbo mnayatafuta kwa tichi