Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Ccm imepoteza au imepata zaidi majimbo???
Huo ni mjadala mwingine. Kwa sasa kinachoangaliwa ni ushindi. Kumbuka kuwa hata hayo majimbo mengine mmeyapata kwa sababu ya mwana ccm
 
Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaameeeeeeeen
 
Mdee haamini machoyake. Mpaka sasa wako shule ya Oysterbay anasisitiza kurudiwa kuhesabu matokeo mara ya 4 sasa. Kippi kampita kwa kura zaidi ya 658 dada haamini kuwa harudi mjengoni. Nadhani sasa ni wakati muafaka wa kuingia ACT

Ningekuwa karibu na wewe ungejuta,huu sasa ni ujuha.
Kipi ana 'kipi' cha kumshinda Iron Lady Halima Mdee?
Hila zote zitashindwa, magamba mnataka kuingiza nchi vitani kwa uroho wenu wa madaraka.
 
Ningekuwa karibu na wewe ungejuta,huu sasa ni ujuha.
Kipi ana 'kipi' cha kumshinda Iron Lady Halima Mdee?
Hila zote zitashindwa, magamba mnataka kuingiza nchi vitani kwa uroho wenu wa madaraka.

Unaweza vita wewe?
 
Bado majimbo ya Mkoa wa Mara.
Tarime mjini CDM
Tarime vijijini CDM
Serengeti CDM
Rorya CDM (Ila bado kutangazwa rasmi) Tusubiriane.
 
Ben Saanane ebu tuwekee hayo majimbo 165 ambayo Chadema imepata, Propaganda zilizochoka kama hizi zinakudharirisha.
 
Hebu fikiria mwanamume tena wanasema msomi na baba yake ni mzae aliyekuwa akinadi uadilifu. Bila hata haya unaamua kwenda bungeni kwa kumuibia kura tena dada mdogo!
Hii nchi ndio maana inapata laana!

Watapata kansa ya damu
 
Mdee sasa mda wake wa kuolewa na kukuna nazi ndani umewadia.Mjengoni hakumuusu tena.Ole wao wale wote wanaogeuza ubunge kama ajira zao za kudumu.Sasa mkatafute kazi nyingine.
 


Eimeeeeeeeeeeeeeen.....!!

Watulie lushinge iwadidige kizuri!
 
Hadi sasa hivi majimbo ya Tanganyika yaliyotangazwa rasmi ukawa Ina majimbo 27
 

Babati. Cdm Pauline gekul
 
Bila katiba mpya itakayoiweka tume ya uchaguzi huru,tutaendelea kuburuzwa ivi ivi milele.shawa mablood suckers sisiem hawawezi kuiachia hii nchi kizembezembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…