Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Poleeni sana Mwanza.
Ukweli ni kuwa hamjasafisha Jiji . Mlichofanya ni sawa na mtu anafanya usafi chumba cha kulala halafu UCHAFU anausukumia chini ya mvungu wa kitanda. Hivo uchafu uko palepale.
Kama chadema walivyofanya kuleta mafisadi
 
Ningekuwa mimi ndio kipi wala nisingepoteza muda wangu kuchakachua kura za halima. Ningemvutia kasi yule mjingamjinga aliyemchapa mzee wangu makofi kule ubungo plaza na cha moto angekiona.
 
Ben Saanane ebu tuwekee hayo majimbo 165 ambayo Chadema imepata, Propaganda zilizochoka kama hizi zinakudharirisha.

Masonjo achana na Ben.
Siku hizi mambo yake ya kizushi na kutafuta kiki yanapunguza uzito wa mada zake.
 
1. Moshi Mjini -CDM
2. Moshi vijijini-CDM
3. Rombo-CDM
4. Same Mashariki- CDM
5. Hai -CDM
6. Siha- CDM
7. Vunjo -NCCR
8. Arumeri Mashariki-CDM
9. Monduli-CDM
10. Simanjiro- CDM
11.Karatu -CDM
12. Kawe-CDM
13. Ubungo- CDM
14. Kibamba- CDM
15. Mbeya Mjini- CDM
16. Iringa Mjini - CDM
17. Bunda-CDM
18. Tarime Mjini- CDM
19.Tarime Vijijini- CDM
20. Rorya -CDM
21. Serengeti- CDM
22. Singida Mashariki-CDM
23. Mtwara mjini-CUF
24.Ndanda-CDM
25.Ukonga-CDM
26. Babati-CDM
27. Bukoba mjini-CDM
28. Kyerwa-CDM
29. Tandahimba-CUF
30. Tunduma-CDM
31. Momba-CDM
32.lupembe-CDM
33. Kyera-CDM
34. Tanga mjini -CUF
35. Mbalali-CDM
36.Mikumi-CDM
37. Kigamboni-CUF
38. Babati vijijini-CDM
39. Kigoma mjini-ACT
40. Kibondo kwa Chiza-CDM
40. Mchinga-CUF
41.Kirombero-CDM
42. Ifakara-CDM
43. Mlimba-CDM
44. Mbulu-CDM
45,.Aremuru Magharibi-CDM
 
Poleeni sana Mwanza.
Ukweli ni kuwa hamjasafisha Jiji . Mlichofanya ni sawa na mtu anafanya usafi chumba cha kulala halafu UCHAFU anausukumia chini ya mvungu wa kitanda. Hivo uchafu uko palepale.

Mkuu, haya maneno aliyasema Dr. Slaa akiwaambia Chadema
 

Mkuu hiyo Kyera ni ya Mwakyembe yule msomi aliyejivua nguo kwenye Richmond?
 

Na badoooo ht wakichakachus mpk kesho. JK Mungu atamlaani
 
Kuna viumbe wa ajabu duniani,wapo wanaogeukia kinyesi chao na kukitafuna!
 
We hujui kilichotokea jimbo la Lembeli! Unaweza kuamini kwamba jimbo la Kahama Lembeli alikuwa na asilimia 80 za kushinda kutokana na kukubalika kwa wananchi ukilinganisha na mpinzani wake wa CCM!

Lakini mbinu iliyotumika ni zaidi ya "bao la mkono" Huwezi amini Chadema haikuchukua hata kata moja pamoja na kupigiwa kura nyingi na wafuasi wake!

Kuna mengi yaliyo nyuma ya pazia kuhusu kilichotokea ila kwa leo ngoja niishie hapa nisije kuwa kama Dr. Ulimboka"
 

Hiyo ni akili mbovu au uvivu wa kufikiri.

Huwezi kusema unachagua Mbunge wa UKAWA halafu Rais akawa wa CCM!!!Hii ni sera gani kama siyo ujinga??

Tunachagua SERA(POLICY) za chama na siyo mtu. Pengine hawa mnaotumabia mnachagua Mbunge wa UKAWA na Rais wa CCM mtumabie hilo Bunge litaendeshwa vipi na Serikali itakayo ongoza itakuwa ya MAGUFULI au CHADEMA/CUF under UKAWA???

Ndiyo maana sishangai kuona kuwa bado Mitanzania mingi imeipigia CCM kwa kuwa na uelewa mdogo sana wa kuchanganua mambo kwa undani na upana wake. This is absolutely nonsense.
 
kawe
kibamba
ubungo

hembu tupe uhakika mkuu.maana kwa kawe kuna sintofaham kubwa sana mpaka Jana SAA 8 watu tulikuwa tunasubilia watoke huko ostybey lakini hora inamaana matokeo ndio yashatoka
 
Tulikuwa tunaambiwa humu kwamba Wenje hata apambanishwe na Yesu atashinda asubuhi tu.Kipi kimemsibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…