Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Makamanda mpooo naona sumu mlizomezeshwa zinaisha taratibu mwilini tulieni dawa iingie vizuri@hapaKaziTu
 
Naona unatapika humu JF ikiwa Riz 1...na January makamba wanakula maisha ni Hatari sana kuwa na umaskini wa Mawazo
Tulia kijana Tulia kamandaHii nchi ina misingi yake haujui chochote Usikurupuke
 
Last edited by a moderator:
SITAKI UGOMVI!!! Nani anaweka pombe maji? Tutagombana. Jana nimeipima mchana ilikuwa 72%, Leo mchan 59% , nimerudi kazini napima 56.78%. Pombe inaisha nguvu.😀😀👏👏👏 Vijana wa mabadiliko walitoka 22%, wakaenda 39%, sasa ni 45+ mabadiliko na kasi inaongezeka. Tuendelee kuwa na Subira.
 
wale wame elimika nilikuwa nasikia kura za majimbo kadhaa kulikuwa hamna kura zilizo haribika kabisa jambo linalo ashiria watu wanajua wanalolifanya huku bara unashangaa kura 3000 eti zimeharibika yani hawakumpa rungwe, wala mama Anna bali zimeharibika. mtu anaacha shyghuli zake anaacha mji wake anajipanga mstari saa nyingine hata masaa 2 afu ana haribu kura si uendawazimu huu

Kuna mmoja alizikusanya bila kuweka alama yoyote.
 
Back
Top Bottom