Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UKAWA.... UKAWA... UKAWA..!!
MAJIMBO 3 ya Dar, Ilala, Segerea, na Kigamboni... ambazo zimeenda CCM, ni kosa la UKAWA... wamesimamisha wagombea wawili wawili, na wagombea kukaidi MAKUBALIANO YA UKAWA...!!
Mfano Kigamboni...Lucy, CDM alipendekezwa na UKAWA...Ila mgombea wa CUF akakomaa.. ana Mgombea wa CCM, ameshinda kwa kura kidogo tu, so mgombea wa CUF angetii AMRI ya UKAWA.. LUCY angeshinda..!!!
Hivyo hivyo... SEGEREA... MTATIRO WA CUF.. angeshinda, ndio kapendekezwa na UKAWA... ila DADA WA CDM kakataa kutoa ushirikiano..
na Mtatiro kashindwa kidogo sana na BONA wa CCM... ungeunganisha kura zao za UKAWA...MTATIRO angekuwa mbunge wa Segerea...!!! Nasikia mgombea wa CDM anatropia alitumika na CCM... kugawa kura..!!
Vile vile, mgombea wa ILALA... Hassanali CDM, angeshinda....ila Mgombea wa CUF alikaidi AMRI YA UKAWA..hivyo Zungu, CCM kashinda kwa kura chache sana sanaaaa...!!!
Na kwingineko nchini... UKAWA wanatakiwa watoe ADHABU kwa wale WAGOMBEA AMBAO WAMEKAIDI na kusababisha kukosa USHINDI...!!!
UKAWA ni ya KUIMARISHA ZAIDI...!!!
Hawa waliokaidi wafukuzwe uanachama na vyama vyao

Hapana, busara itumike. Sasa hivi ni muda wa kujenga tulipofikia ni pazuri. Tukianzisha mifarakano itabomoa hata mafanikio yaliyopatikana so farTena WAFUKUZWE KABISA... sbb wametumika kunyima USHINDI...!!
wanajitahidi sana kupindisha matokeo lakini wanashindwa kulifikia gape ambalo LOWASA AMEMUACHA MAGUFULI, SASA TUENDELEE KUVUTA SUBIRA.
Ila mimi naamini Mungu ataudhihilishia ulimwengu kuwa Tanzania ni ya Watanzania na Sio ya CCM, kwasababu soon LOWASA atatangazwa kuwa Raisi wa Tanzania na Jeuri yao kuishia hapo, mimi naamini kabisa, Tulianza na Mungu na Sasa Mungu ndiye anaisimamia haki ya Watanzania, huku wakijaribu kuzuia hila zozote zinazo weza kufanywa na CCM katika kura za URAISI.
tuute Subira na sasa Maajabu yatafanyika, tusivunje amani ili tupate Tuzo ya AMani, kwani Dunia Nzima inatutazama na inajua kuwa CCM imepigwa chini kwa kura nyingi sana, Umoja wa Mataifa wanajua, DW wanajua BBC wanajua na vyombo vya habari vingine na hata wenyewe CCM wanajua mwaka huu Maajabu yatatendeka.
MATOKEO YA URAIS
MATOKEO YA URAIS
Majimbo 81 / 264 | Matokeo ya awali yaliotolewa na Tume ya Uchaguzi (NEC)
1,541,420 Votes 56.51 %![]()
John Magufuli - CCM
1,136,602 Votes (41.67 %)![]()
![]()
Edward Lowassa - CHADEMA
source: Matokeo 2015 | Mwananchi
naungana nawewe kabisa mkuu kura bado nyingi sana na ukawa tutashinda tu tusikate tamaa
Tayari, Mdee Kidedea....Kipii Chaliiii
Lowassa Akiingia Madarakani Jambo la kwanza TBC Iangaliwe Upya Kwa Kuwapumzisha Baadhi ya watendaji. Its shame
Kuona TV ya Taifa Ikionyesha Katuni...Duuh!!! Only in Tanzania.