Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Makamanda mpooo naona sumu mlizomezeshwa zinaisha taratibu mwilini tulieni dawa iingie vizuri@hapaKaziTu

Mwizi anafukuzwa Taratibu.... Kimya kimya bila Papara akikamatwa yeye ndiye atakaye piga kelele ili watu wake so shhhhhhhhh Atasikia.
kinondoni Said Mtulia CUF AMANI KAANGUKIA KWAPA
 
Alinselema ....

Selema selema...

Tanzania oyee

Mwanza oyee

Shinyanga oyee

Geita oyee

Simiyu oyee

Kagera oyee

Morogoro oyee

Manyara oyee

Dodoma oyee

Singida oyee

Tanga oyee

Tabora oyee

Kigoma oyee

Ruvuma oyee

Katavi oyee

Mbeya oyee

Musoma oyee

Iringa oyee

Musoma oyee

Dar oyee

Zanzibar oyee

Pwani oyee

CCM OYEE

Tanzania oyeee!

Na hiyo ndio Tanzania ya Magufuli
Hebu imba kwa sauti ya Magufuli!
 
Alinselema ....

Selema selema...

Tanzania oyee

Mwanza oyee

Shinyanga oyee

Geita oyee

Simiyu oyee

Kagera oyee

Morogoro oyee

Manyara oyee

Dodoma oyee

Singida oyee

Tanga oyee

Tabora oyee

Kigoma oyee

Ruvuma oyee

Katavi oyee

Mbeya oyee

Musoma oyee

Iringa oyee

Musoma oyee

Dar oyee

Zanzibar oyee

Pwani oyee

CCM OYEE

Tanzania oyeee!

Na hiyo ndio Tanzania ya Magufuli
Hebu imba kwa sauti ya Magufuli!

ha ha haaaa ha ha ARUSHA NA KILIMANJARO MNAZIOGOPA
 
Alinselema ....

Selema selema...

Tanzania oyee

Mwanza oyee

Shinyanga oyee

Geita oyee

Simiyu oyee

Kagera oyee

Morogoro oyee

Manyara oyee

Dodoma oyee

Singida oyee

Tanga oyee

Tabora oyee

Kigoma oyee

Ruvuma oyee

Katavi oyee

Mbeya oyee

Musoma oyee

Iringa oyee

Musoma oyee

Dar oyee

Zanzibar oyee

Pwani oyee

CCM OYEE

Tanzania oyeee!

Na hiyo ndio Tanzania ya Magufuli
Hebu imba kwa sauti ya Magufuli![/QUOTE
Tanzania ya Magufuli oyeeee. Wameisoma namba
 
matokeo ya urais yanaashilia Magufuli kushinda uchaguzi.
haikutarajiwa watanzania kumchagua kiongozi wa Tanzania kutoka CCM. Si kwa sababu hakuna ilichokifanya bali kwa sababu ambacho haikukifanya kinagusa maisha ya wananchi moja kwa moja-Maji, afya nakadhalika.
naona watanzania wamekataa mambo haya katika kura yao:
wamewakataa kuikabidhi nchi yao kwa taasisi inayotiliwa mashaka.

1) Mpaka tunakaribia uchaguzi CHADEMA haina mtu (Mgombea) wa kusimama na kutetea agenda yake? inahangaika mara Warioba mara Lowasa? haina msemaji wake? Mara Kingunge, mara Sumaye?

2) Tunakaribia uchaguzi taasisi inatelekeza agenda yake iliyoifanya ijulikane? tena inafanya hiyo kusudi mgombea iliyemuokota ameikataa?

3) Taasisi inayotaka kuiongoza nchi na haijui historia ya nchi yetu? Inasema katika miaka hamsini hakuna kilichofanyika?

4) Taasisi isiyotambua kazi iliyofanywa na vyama vilivyolikomboa taifa? inavitukana? Inasema 'vyma vinavyojiita vya ukombazi'? inawasikiliza waliotutawala katika sera yao mpya? haina tahadhali yoyote nao, badala yake inajihadhali na inaotaka waikabidhi madaraka?

5) Taasisi isiyo na organization?

Watanzania wana akili kumbe! Ninafikiri kuna watu ndani ya taasisi hizi wanastahili kujifunza kusikiliza ng'ambo ya pili. Leo ndiyo nakubaliana na warioba kuwa nchi kama Tanzania ili iweze kusonga mbele hatujawa na cyama vinavyoweza kuliongoza taifa hili. Watanzania wamekataa kusikiliza maneno ya 'Kenya ilifanya, Zambia, Malawi'. Wao wameangalia taifa lao ambalo ni jamhuri ya MUUNGANO. Kila mwenye akili sasa, atawaingia kwa tahadhali.
Nawapongeza sana. Walisema 'Kwa sasa mzee tunampigia Lowasa ila tarehe 25 tutampigia Magufuli'. Nilifikiri wanatania.

Elisa Muhingo
 
Hebu oneni kinachofanyika na tume Hii sio HAKI watanzania Wamepiga kura kwanini mnafiki zingine hii ni AIBU KUBWA
 

Attachments

  • 1446011581367.jpg
    1446011581367.jpg
    57.5 KB · Views: 81
Urais: Magu FULL John Pombe 2,480,614(57.25%) LOW assa 1, 777, 010(41.01%) Tofauti ya 703604.
Ubunge: Jumla ya majimbo yaliyotangazwa ni 213, CCM viti 153 CHADEMA viti 35 CUF viti 23, ACT-WAZALENDO 1, NCCR-MAGEUZI 1.

Tofauti ya Viti vya CCM na vyama vya Upinzani ni 153-60=93.

Kwa taarifa zaidi fuatilia AZAM TV STATION TWO LIVE.
 
WATU WENGI HAWAJAJITOKEZA KUPIGA KURA TENA NDIO MAANA TUNAZUNGUMZIA MAMBO YA MILLION 3 MPAKA SASA KATI YA MILLION 23 WALIJIANDIKISHA.

USHAURI:

Tume itangaze baada ya uchaguzi huu mwanainchi asiruhusiwe kutumia kitamburisho cha mpiga kura kwa shughuri yoyote ile zaidi ya kupigia kura tu. kufanya hivyo chaguzi zijazo watu watajitokeza.

Mliona misululu mirefu kumbe watu wengi walibaki majumbani.
 
No...ni majimbo 113 tu yaliotangazwa...!!! Sio 213...!!! Nadhani umekosea ktk typing...!!!

So bado majimbo 151...!!!
 
Boda boda ambao ulikuwa mtaji wetu mkuu hawakupiga kura siku hiyo, walikuwa busy kuleta watu kupiga kura na kuwarudisha majumbani kwao, na siku hiyo ilikuwa siku ya biashara sana kwao.

Kuna dogo mtaani anasema alimake kama 160,000/- siku hiyo tu, so akaona siyo issue kupiga kura uache fedha.
 
Boda boda ambao ulikuwa mtaji wetu mkuu hawakupiga kura siku hiyo, walikuwa busy kuleta watu kupiga kura na kuwarudisha majumbani kwao, na siku hiyo ilikuwa siku ya biashara sana kwao.

Kuna dogo mtaani anasema alimake kama 160,000/- siku hiyo tu, so akaona siyo issue kupiga kura uache fedha.
Acha uchochezi matokeo ya mijini ambapo bodaboda ni wengi kama vile dar tanga mjini mbeya mjini mwanza hayajatangazwa
 
Urais: Magu FULL John Pombe 2,480,614(57.25%) LOW assa 1, 777, 010(41.01%) Tofauti ya 703604.
Ubunge: Jumla ya majimbo yaliyotangazwa ni 213, CCM viti 153 CHADEMA viti 35 CUF viti 23, ACT-WAZALENDO 1, NCCR-MAGEUZI 1.

Tofauti ya Viti vya CCM na vyama vya Upinzani ni 153-60=93.

Kwa taarifa zaidi fuatilia AZAM TV STATION TWO LIVE.


Asante, Uwe unatupatia summary hii kila Lubuva akimaliza kusoma matokeo mapya.
 
Kwa masikitiko makubwa bado siamini kwa macho wala masikio yangu kile nachoendelea kukitazama na kukisikia NEC

#MILIONI 10 HELA YA MBOGA

Jamani Watanzania tumelogwa na nani??Hata yule aliewatukana na kuwakashifu?? nitamnukuu (''Sihitaji kura zenu na sina shida nazo hata msiponipa'') huku kwa mbwembwe na nyodo akisema mbele ya umma kwamba MILIONI 10 kwake ni kama hela ya MBOGA.Mmemrudisha Bungeni??kweli??Ili akapate hela ya UNGA sasa si ndio??Dah jambo hili limenisikitisha saana tena saanaa!!Sina cha kufanya pengine wananchi wa jimboni kwake mmeona ni sawa kumpa kura zenu tena!!

MWANZA,,MUSOMA,,GEITA

Binafsi nimesoma Mwanza kimafanikio katika taaluma (Nsumba Boys 2009_2011) na nilipiga kura kwa mara ya kwanza mwaka 2010 kwa EZEKIA WENYE nikiwa mwanafunzi wa kidato cha 6 katika shule tajwa hapo juu kwenye kituo cha NYAMARANGO!Nimeishi mwanza kwa muda mrefu japo nyumbani ni Arusha.Mkoa au jiji hili ni moja kati ya Nguzo nilizoziamini kwa asilimia nuingi katika kutafuta mabadiliko ya kweli,,hasa baada ya kushuhudia Hamasa katika mikutano mikubwa ya Ukawa pale viwanja vya Furahisha.Nini kimetokea mwanza??NYAMAGANA TUMEIPOTEZA,,Kana kwamba haitoshi ILEMELA pia TUMEIPOTEZA!!Madiwani wengi wa ccm wameshinda uongozi katika kata nyingi kuliko upinzani!!Nini sababu??Je mlibadili gia angani??Au kwa kua Mgombea wa Ccm ni wa nyumbani kwenu ndugu zangu??Au ndio Goli la Mkono limepata nafasi sana ukanda huo??Bado sipati jibu!!

#Musoma ndugu zangu Mlideki hadi barabara!!Mbona matokeo yanakua tofauti jamani??Je ni Goli la mkono?Kama ni hivyo je,mlishindwa kuziba mianya ya udanganyifu vituoni?Au mliogopa ile ya MITA200??
Nashindwa kuwalaumu moja kwa moja kwa sababu sijafanya utafiti kugundua nini kimetukwamisha!Sitaki kuingolea Mbeya kiundani kwa sababu kimatokeo imegeuka 100% kua ngome ya ccm!!

NINI KINAENDELEA ZANZIBAR??
Matokeo yalianza kutolewa jana lakini katika hali isio ya kawaida wanasema umeme ulikatika na waliahidi kurudi saa 2 usiku wa jana,jambo ambalo halikufanyika mpaka mida huu naandika uzi huu bado kimya,ol tuvute subira japo sioni mantiki ya ucheleweshwaji wa matokeo ile hali zanzibar ina wapiga kura wasiozidi Laki 5 ambayo ni idadi ndogo sana ukilinganisha na bara
Majuzi Maalim Seif Mgombea wa kiti cha urais Kwa chama ya CUF aliiitisha mkutano na vyombo vya habari na kujitangaza kama mshindi halali kwa kua alimzidi mpinzani wake kwa kura karibu 30,000!
Tukiqchana na hay,hapo usiku nilipokea waraka unaoeleza kua Maaskari na wanajeshi walivamia chumba kile cha mikutano ambapo matokeo yalikua yakitangazwa na ZEC na kulazimisha usitishwaji wa utoaji matokeo mpaka pale watakapoarifiwa!Sina uhakika na hili na wala sitaki kuonekana mchochezi katika hili!Lakini Mtanzania jiulize tu nini kinachelewesha mapaka Muda huu??Zec isitoe matokeo??ile hali zoezi la kuhesabu kura limekwisha malizika??Haihitaji shule wala chuo kujua jibu hapa!!

Mwisho tu nimalize kwa kuipongeza mikoa iliyodhihirisha kutaka mabadiliko kiukweli ikiwemo Arusha,Dar es salaam na Kilimanjaro (moshi),pamoja na ZANZIBAR!!Japo kuna malalamiko ya Uchakachuaji wa hali ya juu wacha tuendelee kusubiri na kuona Hatua gani zitachkuliwa,binafsi bado sioni DEMOKRASIA YA KWELI TANZANIA!!
 
Baada ya lowassa kuchezea majebb,right na macross ya kutosha kiasi cha kuangukaanguka hovyo ulingoni sasa ni wazi washabiki,wafuasi na baadhi ya wanachama wa genge la ukawa wanasumbuliwa sana na tatizo hili la KIHORO CHA MAUMIVU.

Ushauri:Wahudhurie hospitali na kliniki mbalimbali ili wapate ushauri nasaha.
 
ivi ninyi JamiiForums mna bifu gani na cdm, idadi ya wabunge mpaka sasa wa cdm ni 34 ninyi mmeandika 21.Je, ni makusudi? hamjui kuhesabu? au mmeamua kuonyesha uhasama wenu na chadema.Halafu kuna majimbo ambayo mpaka sasa matokeo yake yako laivu(yamekwisha tangazwa) lakin niny hamtaki ku-updates, mfn-ukerewe n.k.

Ebu jaribuni kuwa current na realistic na matokeo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom