ccm inajingamba kwamba watanzania wanakikubali chama cha ccm kua ni chama kikongwe na sera zake mzuri za Umoja amani na upendo, Jee hii kweli ndio Amani ?,jee hii kweli ndio Democrasia ? yani munainyonga Democrasia kwakulazimisha hali ya uvunjifu wa Amani kama huu kwamba hata kuiba lakini Makufuli awe tu Raisi dooo ( that is shame and sad).
MAHINDI YA CCM HAYO
Hata mimi kama ni Chadema/UKAWA basi naukataa uchaguzi wa uraisi kwa hali hii aibu aibu aibu ccm .
Hii kweli ndio Amani ya nchi hii kweli ndio democrasia ccm?.
Watanzania endeleeni na maisha haya ya uchaguz wachanane imeshaisha hayo ,tafuteni maisha Sasa cio kutwa siasa tu .
Watu toka kampeni zianze hadi Sasa wapo tu na siasa wachani hayo tafuteni maendeleo ya familia zenu jamani .
Walidai baada ya oct 25 eti tutapotea humu jamvini, ajabu wao ndio wamekula kona! teh teh teh! huwezi kumchafua mtu kwa miaka 10 uje uweze kumsafisha kwa siku 60 ? ajabu!
ndio maana tunasema watanzania wengi ni mazezeta,unadhani maendeleo ya familia yako yatakuja bila kuwa na siasa safi kama alivyo sema mwl.nyerere. your life in this world is determined by politics.una kazi kama mpaka leo hujui maana ya siasa ktk maisha yako ya kila siku