Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Musoma mjini Vicent Nyerere Out na mh VEDASTUS MATHAYO MANYINYI wa CCM ameshinda....
 
Sasa waoneshe nini kama mambo si mambo kwenye majimbo? Wacha wajiliwaze dakika za mwisho
 
WANAIGA ZBC ni taarabu tu kwenda mbele huku mitaa inachemkaa
 
Kwa pamoja kama umebahatika kupata nakala halisi ya matokeo kwa kila mkoa na vituo vyake hemu tuyakusanye hapa kwa pamoja kupata mwelekeo nani ni nani: Haya niwakaribishe
 
Hata siku Nebkaneza alipoanguka alikua anafanya karamu kubwa mno!!
 

kaka you are logic co wengne MATUSI
 
Haiwezekani siku muhimu kama ya leo eti baadhi ya maeneo vifaa hakuna.Lowassa ukishaingia ikulu fumua NEC nzima weka watu wanaojua wajibu wao
 
Mods naomba mtoe nafasi kwa mtu mmoja mmoja kuweka key updates za kila mkoa kwenye page ya kwanza. Kwa jinsi zilivyowekwa thread za mikoa hazitupi updates tunazotamani.
madence Melo Invisible Paw
 
Last edited by a moderator:
Hii "TV ya taifa" hata nashindwa kuwaelewa... Wakati televisheni binafsi Kama itv na star wako live muda wote wakileta matokeo ya uchaguzi kila kona ya nchi wao wanapiga miziki tuu muda wote!!!!
Sasa hapo unaweza jiuliza hii ni televisheni ya Taifa kweli????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…