Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Niliota kifikra kuhusu Tanzania niitakayo baada ya vyama kusimamisha wagombea wake wa Udiwani, Ubunge na Urais.

Kwa kadri matokeo yanavyobandikwa kwenye vituo, ndoto yangu inazidi kutimia.

Niliomba kifikra Taifa lipate wabunge wengi wa upinzani ili wakaweze kufanya kazi zao kiufanisi bungeni. Hili ninaelekea kutimia. Hongera Watanzania.

Niliomba Taifa lipate Rais Magufuli ili akalitumikie taifa katika msingi wa Uadilifu,uchapakazi na Uzalendo wenye nguzo ya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi. Hili pia linaelekea kutimia. Hongera Watanzania.

Tanzania mpya inazaliwa ambayo mihimili ya nchi (Bunge, Dola na Mahakama) itafanya kazi zake kifanisi.

Mungu endelea kubariki Taifa letu.

Kwa matokeo haya na kwa wapenda taifa endelevu, hakuna aliyeshindwa bali Taifa limeshinda!

Taifa Kwanza, Vyama Baadaye.

Hukuwahi kuomba wapinzani washinde hata siku moja wewe ni mnafiki, ungekuwa uliomba wapinzani washinde tungeona hata ukiikemea serekali iliyoagiza magari 777 ya kuja kupiga wananchi watakaoikataa ccm. Leo hii bila aibu mnaagiza magari ya kupigia wananchi waliowakinai wakati hata kulipa wasimamizi wa uchaguzi hamuwezi, waalimu wamelalamika mpaka wamechoka lakini wapi!!? Kulikuwa na ugomvi gani mpaka muagize magari mengi hivyo wakati ni mwezi wa nne sasa kila siku ni mgao wa umeme?

Watu waliacha weledi wakawa wanapewa vyeo kwa kujipendekeza. Viongozi wengi wa taasisi za hapa nchini wamepata vyeo kwa kujipendekeza na sio uwezo mfano, viongozi wa jeshi la polisi, wakuu wa wilaya/mikoa, mawaziri nk. Matokeo yake taasisi hizo zimeshindwa kufanya kazi kwa kufuata sheria bali kuwafurahisha walioweka madarakani. Na bado ngoja matokeo rasmi yatoke ndio mtajua mlikuwa mnajidanganya kwa propaganda za kizee. Hebu rudia tena ule msemo mliojidanganya nao wa "kata tatu chopa tatu"
 
mleta uzi na gazeti lako la udaku wote wapuuz...au kuna arusha nyingne msoga??
 
Ndugu wanajamvi.

Ninaomba kujua matokeo ya Kiongozi wangu Salim Mwalimu kule Zanzibar.

Poleni kwa Uchovu
 
Arusha tangu mwaka 1995,ilishajitambua mkuu labda ccm waje na jina lingine.ccm haina tena mvuto.
 
DSC01737.jpg

Mleta uzi umeishiwa cha kuandika baada ya ukawa kuwatandika kila kona
 
CCM waliona mbali sana kwa kumtosa Lowassa Mbowe anawaaminisha watu wazima eti wazungushe mikono hewani waimbe mabadilikooooo Lowassaaaaa masikini ya Mungu watu nao wanamfuta Mbowe nuksi sana anajua kucheza na akili za watu ngoja Lowassa akachunge ng'ombe zake.



Campaign zilishafungwa huu mda wa matokeo tulia kijana, sera zako hazina maana sasa hivi. What matters now is RESULTS.
 
Mtu mwenyewe anajiita singidadodoma unategemea nini hapo???
 
Ndugu wanajamvi.

Ninaomba kujua matokeo ya Kiongozi wangu Salim Mwalimu kule Zanzibar.

Poleni kwa Uchovu

Usiziaini hizi taarifa zangu mana na mimi nimesikia.

Salum Mwalimu Ameshindwa.
Nimesikia Radio Free Asubuhi.

Vuta Subra wenye matokeo kamili watakuja. Hizi ni tetesi tu
 
MARA BAADA YA WIKI NITAANZA KAMPENI YA KUWASHITAKI TBC NA SERIKALI KWA KU ABUSE HAKI ZA WATANZANIA NA UFISADI WA HABARI< HUYU MSHANA SI WA KUFUKUZWA NI WA KUSHITAKIWA KATIKA KESI YA KIKATIBA, tayari tumeshanza ku moblize funds kwa ajili ya ku engage wanasheria, it will be people vs the corrupt government and its entities, tafadhali tuunge mkono lazima tuikomboe nchi yetu
 
Arusha ya Kuwait au ya Libya mtaweweseka sana huu ndio mwisho wenu
 
Back
Top Bottom