Watu
JF-Expert Member
- May 12, 2008
- 3,231
- 1,471
Jaman na mtwara anadanganya hvhvi
Lete matokeo yako kama ulivyo pewa naYerriko? kama humwamini Lubuva
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaman na mtwara anadanganya hvhvi
Mpaka sasa magufuli ana kura zaidi ya 50000 wakati lowasa 13000 kwa majimbo 3
Hawa jamaa ndiyo wataanzisha Fujo! Kwanin wanashindwa kutangaza matokeo??? au wanasubiri wachakachue?????
Na maalim seif aishughulikie ZBC ,toka jana tunachezeshewa taarab! yaani ya Zanzibar tunayapata kupitia vituo vilivyopo nje ya Zanzibar!
Kuanzia Kesho MH RAIS LOWASSA. Ahandae Faili La Kumfukuza Kazi MKURUGENZI Mkuu Wa TBC BW Clement Mshana.
Khaa!! Atutakubali = Hatutakubali. Mbona kiingereza hamkosei? :eek2:Atutakubali by hooks or crooks