Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Wewe uko vrry smart
Mbagala wapiga kura laki 5
mbunge mmoja
 
necki huwa haitoi matokeo ya vituo,,inangoja full package
 
kwakukusaidia uende twitter,kuna account ya,UCHAGUZI MKUU,ndiyo ina update nonstop matokeo ya kila kituo nchi nzima kila yanapowafikia
 
Waulize CCM maana ndiyo wanaotoa mgawanyo maana wakiona upinzani unakubalika maeneo fulani hawagawanyi jimbo bali wakiona lirangi lao la kijani linakubalika wanagawa ili wawe na majimbo mengi.Shame upon their faces.
 
Hili nilipenda kulifahamu kama kuna UKAWA waliokesha wakilinda kura, kwa maana Mbowe aliliongela kwa msisitizo sana hili!
 
Matokeo yameendelea kutangazwa katika vyombo mbalimbali vya habari na hata kwenye mitandao ya kijamii.,kila yanavyoendelea kutangazwa lipo kundi kati yetu linapata faraja zaidi na lingine linapata maumivu na dhahama, lakini ndivyo inavyokuwa katika kila ushindani lazima apatikane mshindi...na ndicho kinachoendelea, tunaelekea kumpata mshindi wa Uchaguzi huu mkuu kati ya CCM (chama tawala na wapinzani)

Lakini lipo jambo nadhani napaswa kulisema hapa, hili linalohusu watu kutangaza matokeo ya uongo na hata wengine kujitangaza washindi, kumekuwepo na hali hii kuanzia jana, ambapo washabiki, wapiga debe, wapiga kampeni wamekuwa wakitangaza ushindi kwa wagombea wao na hata wagombea wenyewe baadhi wakijitangaza nje ya utaratibu halali tuliokubaliana sote kwa pamoja.

Nadhani watu hawa (kutoka CCM na hata Upinzani) hawajaelewa ama wanapuuza athari inayoweza kusababishwa na maneno yao, ama kitendo chao hiko cha kujitangaza....,wanasahau kuwa FITNA kwa kawaida huwa imelala inatafuta mtu wa kuiamsha tu, na wanachokifanya viongozi wangu hawa ni kuiamsha FITNA.

Binafsi nitoe wito kwa viongozi, wanachama wenzangu na wakereketwa wa CCM pamoja na wale ndugu zangu wa UKAWA (pamoja na kuwa jahazi lenu linazama lakini gharama ya DAMU ni kubwa mno kuliko kuacha jahazi hilo litopee katika maji, sababu ni moja tu, mlipata nahodha wa hovyo, amewazamisha, siku nyingine jifunzeni kisha njooni uwanjani lakini sio kwa VURUGU bali kwa nguvu ya UMMA inayothibiti kwenye sanduku la kura)

Ni kwa bahati mbaya tu, kuwa siku hizi mmesahau nguvu ya UMMA na mnaamini zaidi katika nguvu ya NOTI.,poleni lakini ndio mambo, mkikua mtaacha. Tuendelee kuhesabu kura kwa AMANI na UTULIVU, hizo ndio NGAO zetu..

UKAWA, Mnahesabu lakini..??? LOL.
 
Juliana Shonza, acha ushabiki usio na maana kwakuwa unajidhalilisha.Matokeo rasmi yanatangazwa na NEC kupitia kwa Wasimamizi. Hadi sasa,yametangazwa majimbo mawili yaliyokwenda upinzani. Usipelekshwe na tetesi za kwenye vyombo vya habari mdogo wangu. Habari za sikia-sema zinakuanika. Shame on you!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Abunuas mkoa wa Kilimanjaro una idadi ya watu 1,640,087 kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2012.Mkoa wa Arusha una idadi ya watu 1,694,310.Ukitazama utakuta mkoa wa Arusha ni mkubwa kieneo kuliko mkoa wa Kilimanjaro.Sehemu kubwa ya eneo la mkoa wa Arusha ni pori na sehemu nyingine ni eneo la hifadhi za taifa (TANAPA) ambalo halikaliwi na watu.Ukisafiri kutoka Arusha kwenda Mkoa wa Manyara kuanzia njia panda ya Monduli mpaka unakaribia vijiji vya mwishi mwisho uingie Babati Mjini ni eneo la JWTZ tena wameweka na vibao kabisa so ukitazama vigezo vyote utakuta Mkoa wa Kilimanjaro una msongamano mkubwa wa watu kwa eneo ukilinganisha na Mkoa wa Arusha.Jiji la Arusha lina sifa ya kugawanywa mara mbili nadhani uchaguzi mkuu ujao labda tume inaweza kutufikiria.
 
Last edited by a moderator:
Matokeo yameendelea kutangazwa katika vyombo mbalimbali vya habari na hata kwenye mitandao ya kijamii.,kila yanavyoendelea kutangazwa lipo kundi kati yetu linapata faraja zaidi na lingine linapata maumivu na dhahama, lakini ndivyo inavyokuwa katika kila ushindani lazima apatikane mshindi...na ndicho kinachoendelea, tunaelekea kumpata mshindi wa Uchaguzi huu mkuu kati ya CCM (chama tawala na wapinzani)

Lakini lipo jambo nadhani napaswa kulisema hapa, hili linalohusu watu kutangaza matokeo ya uongo na hata wengine kujitangaza washindi, kumekuwepo na hali hii kuanzia jana, ambapo washabiki, wapiga debe, wapiga kampeni wamekuwa wakitangaza ushindi kwa wagombea wao na hata wagombea wenyewe baadhi wakijitangaza nje ya utaratibu halali tuliokubaliana sote kwa pamoja.

Nadhani watu hawa (kutoka CCM na hata Upinzani) hawajaelewa ama wanapuuza athari inayoweza kusababishwa na maneno yao, ama kitendo chao hiko cha kujitangaza....,wanasahau kuwa FITNA kwa kawaida huwa imelala inatafuta mtu wa kuiamsha tu, na wanachokifanya viongozi wangu hawa ni kuiamsha FITNA.

Binafsi nitoe wito kwa viongozi, wanachama wenzangu na wakereketwa wa CCM pamoja na wale ndugu zangu wa UKAWA (pamoja na kuwa jahazi lenu linazama lakini gharama ya DAMU ni kubwa mno kuliko kuacha jahazi hilo litopee katika maji, sababu ni moja tu, mlipata nahodha wa hovyo, amewazamisha, siku nyingine jifunzeni kisha njooni uwanjani lakini sio kwa VURUGU bali kwa nguvu ya UMMA inayothibiti kwenye sanduku la kura)

Ni kwa bahati mbaya tu, kuwa siku hizi mmesahau nguvu ya UMMA na mnaamini zaidi katika nguvu ya NOTI.,poleni lakini ndio mambo, mkikua mtaacha. Tuendelee kuhesabu kura kwa AMANI na UTULIVU, hizo ndio NGAO zetu..

UKAWA, Mnahesabu lakini..??? LOL.

Subiria matokeo wewe bibi! Angalia Zenji maalim Seif alivyomtimulia vumbi Shein na anasubiria kuapishwa tu.
 
Ni dhahiri ccm wanashinda kwa viti vya ubunge na uraisi watu wapende wasipende huo ndio ukweli ila ni dhahiri pia upinzani pia utaongeza viti vya ubunge safari hii,jambo linalonishangaza sana mimi ni cuf kupata viti bara jambo ambalo kwangu ni la kushangaza sana
 
Back
Top Bottom