Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

ACT isahau kuwa chama kikuu cha upinzani, waungwana tulishayajua haya na tukaandika hapa
 
Ni wazi Chama Cha Mapinduzi kimejipanga katika kutoa taarifa. Tumeona J. Makamba akitaja majimbo yaliyovunwa na chama hicho.

Lakini kwa UKAWA mambo ni tofauti na ni wazi Afisa habari wa CHADEMA, Tumaini Makene, umeshindwa kazi, Makene ameshindwa hii kazi? (iwapo Makene ni wa chama sio wa UKAWA lakini kwa ukubwa wa CHADEMA ndani umoja huu, ni vema Makene akatoa idadi ya majimbo na maendeleo ya majimbo mengine ili wafuasi wao wawe updated).

Kwa sasa wafuasi wa UKAWA hawana cha kujibu kwa vile hawana taarifa za jumla iwapo vyombo vya habari vimekuwa vikiripoti, lakini sio kwa utaratibu wa kufanya watu wapate summation.

Wanataka tume itangaze kura za urais majimbo ya arusha, kilimanjaro, na mbeya mjini.... Lakini bado alitokeza jana kutetea vijana wake hukumwona?
 
Zito Kauwa Chama Chake Yaani Angalia Machali
Kukosa Mpaka Sasa Ni Zito
 
act ni ccm b ...hahaha wamegawa kura kigoma ccm kashinda kiulaniii....ubinafsi wa zito umesababisha kigoma imeangukia kwa ccm
 
Naona taarifa zinakanganya wengine wanasema silinde kashinda wengine wanasema kapoteza.
UKWEI TAFADHARI???~!!!!!
 
Kinachowasumbua ni ubishi

Tatizo ukawa walitoa elimu ya kulinda kura hawakutoa elimu ya kupiga kura,mi nimesimamia zoez la kupiga kura,watu wanatafuta ukawa,wakikosa wanapigia chama chochote,au anachora chora kwa hasira anatoka
Wengi ni vijana waliohemkwa kwani walikuwa wakikunja nje ndani wakidai kuwa wamefundishwa kukunja ki ukawa
 
Kamanda thax kwa jembe sirinde devid mpeni ongera kuna mwenye vidio au picha take naomba0789808097/0752808097
 
Baada ya kupigwa babu duni sijui atarud cuf au atabaki kwa mangi? Disco jorker nae bado atakua na sifa za kuendelea kua mwenyekiti wa saccos yao? Mwenyekit mwenza tuliyempaga viti maalum bado atakua na sifa ya kua mwenyekiti.Elimi,elimu,elimu(EL) atapewa ukatibu chadema au pombe atamteua kua viti maalum? Maswali hayaishi kichwani. Tusubir muda utakua jawabu toshaa
 
Zitto sasa hiv itabidi awe kama mrema tu mana mrema kaondoka hamna jinsi itabidi atafufe upande ili asiwe mnyonge awe na wenzie

Nina mpongeza sana Mhe. Zitto kwa ushindi wake ktk jimbo jipya la kigoma mjini (ujiji). Ushindi wa zitto ni ushahidi mwingine kuwa ni mwanasiasa mahili sana. Lakini vile vile ni fundisho kwa vyama vya kisiasa hasa vichanga kama vyama vya upinzani tanzania kuwa jinsi vyama vipya vikianzishwa baada ya ugomvi ndani ya chama fulani matokeo yake ni kupunguza nguvu ya vyama husika badala ya kuvijenga. Ni wazi wengi walifikiri chama cha ACT WAZALENDO kingegawa kura za wapinzani lkn it is obvious hakuna madhara yoyote hasa kwenye ubunge na uraisi. Honestly tuna lesson learned hapa. Kwa tanzania vyama vya upinzani ni lazima vijiimarishe kwa maana ya kujenga mtandao wa wanachama watiifu na vishirikiane kwa dhati lasivyo vitakuwa vinashiriki kama formalities
 
Back
Top Bottom