Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Kwanini tuwa miss?

Hawajafanya kazi waliyotumwa na wananchi wa majimbo yao na wananchi wameamua wawakilishwe na wengine.

Kwa mfano mwamry nilikuwa napenda sana ile sauti yake ya msisitizo, alikuwa anaongea harafu anasema mh. Spika sauti hii isiwatishe ni msisitizo tu.
 
Morning Updates kutoka Azam
Majimbo yaliyotangazwa

CCM - 34 wameshinda
CUF - 15 wameshinda
CHADEMA - 14 wameshinda
ACT - wameshinda

Urais ni kura za majimbo 27 tu zimeshatangazwa na mpaka sasa tofauti ya washindani wawili ni kura 100,000+
 
Ndugu wanajamiiforums,napenda kumuuliza ndg huyu kama kashinda au kashindwa? ,na je jimbo lake lipo pemba au unguja?
 
Na wale walioshindwa ni wale ambao walijihakikishia kuwa wana hati miliki na viti vya Ubunge. Wakawa wameota pembe wakijua kuwa wamewaweka wapiga kura kwenye kiganja. Kumbe ki ukweli Mtz wa leo hatabiriki.... Mi nimesikitiaka Wasira kutorudi bungeni. Teh.

Mkuu acha utani bana kuwa serious
 
Unajua mbowe alijiona mjanja sana kumuuzia lowassa Chama.ona sasa kilichotokea. Lowassa anarudi Kuchunga ng'ombe monduli.huku chadema ikiendelea kupoteza baadhi ya majimbo.
Imepoteza na kuchukua hivyo analysis yako haijakaa sawa. Mbona husemi kuhusu ushindi wa CHADEMA Monduli, Siha, Same, Babati, Buyungu etc umeng'ang'ana na Mwanza tuuuu.
 
Ni shida mno watu walikuwa wanatukana hovyo humu jamvini,wengine walidiriki kusema hata UKAWA wakimuweka Idd Amin awe mgombea wao watamchagua tu awe kiongozi mkuu wa nchi yetu,nikawaambia yaani Watanzania tumesahau ubaya aliowafanyia ndugu zetu wa Kagera enzi hizo Mkoa wa Ziwa Magharibi alipoivamia nchi yetu,kipindi hicho hakuna Tv ni RTD peke yake nchi nzima,wakati wa Taarifa ya Habari tunakimbilia kusikiliza redio 277,tukafundishwa kuchimba mahandaki na namna ya kukimbilia humo kujificha,lkn eti watu wakawa wanamtaka huyo Fashisti aje awe mtawala hapa kisa kuiondoa CCM madarakani haya sasa Watanzania wameamua nadhani wamezingatia usemi Zimwi likujualo...............
 
Majimbo ya UKAWA
1. Moshi Mjini -CDM
2. Moshi vijijini-CDM
3. Rombo-CDM
4. Same Mashariki- CDM
5. Hai -CDM
6. Siha- CDM
7. Vunjo -NCCR
8. Arumeri Mashariki-CDM
9. Monduli-CDM
10. Simanjiro- CDM
11.Karatu -CDM
12. Kawe-CDM
13. Ubungo- CDM
14. Kibamba- CDM
15. Mbeya Mjini- CDM
16. Iringa Mjini - CDM
17. Bunda-CDM
18. Tarime Mjini- CDM
19.Tarime Vijijini- CDM
20. Rorya -CDM
21. Serengeti- CDM
22. Singida Mashariki-CDM
23. Mtwara mjini-CUF
24.Ndanda-CDM
25.Ukonga-CDM
26. Babati-CDM
27. Bukoba mjini-CDM
28. Kyerwa-CDM
29. Tandahimba-CUF
30. Tunduma-CDM
31. Momba-CDM
32.lupembe-CDM
33. Kyera-CDM
34. Tanga mjini -CUF
35. Mbalali-CDM
36.Mikumi-CDM
37. Kigamboni-CUF
38. Babati vijijini-CDM
39. Kigoma mjini-ACT
40. Kibondo kwa Chiza-CDM
40. Mchinga-CUF
41.Kirombero-CDM

42. Mlimba-CDM
44. Mbulu-CDM
45,.Aremuru Magharibi-CDM
46. Liwale-CUF
 
Kwa nini hawatamgazi majimbo ya kawe na mengine ya dsm? Wanataka kuiba?
NEC ya ccm tutegemee haki itendeke?
Ccm ni kama mkoloni au kaburu hawezi kutoka kirahisi. I m telling you
 
Hii ni tafakuri yangu,

Sehemu ambazo UKAWA wana ngome kubwa kama Mbeya, Iringa, Mwanza, Dar na Arusha kuna figisu figisu nyingi za kutangaza wabunge hata kama halmashauri zimeshachukuliwa kwa baadhi ya maeneo. Hii ni kutaka kuwaangusha wabunge wa ukawa ili ku justfy matokeo ya u Rais kuw na yenyewe ukawa wameshindwa. Ikishindikana hivyo wataonesha kuwa CDM kwenye uRais wanaongoza kwa margin ndogo sana dhidi ya CCM na kuweka gap kubwa la kura kwenye ngome zao. Finally they will appear to win.

What is the UKAWA move???
 

  1. Arumeru Mashariki – Joshua Nassari CHADEMA
  2. Babati Mjini – Pauline Gekul CHADEMA
  3. Bukoba Mjini – Lwakatare Wilfred Mugyanyizi CHADEMA
  4. Bunda Mjini- Esther Bulaya – CHADEMA
  5. Hai -Freeman Mbowe CHADEMA
  6. Iringa Mjini – Peter Msigwa CHADEMA
  7. Kigoma Mjini – Zitto Kabwe ACT
  8. Mbeya Mjini- Joseph Mbilinyi CHADEMA
  9. Mchinga- Hashim Hassan Bobali CUF
  10. Momba – David Ernest Silinde CHADEMA
  11. Monduli – Julius Kalanga CHADEMA
  12. Moshi Vijijini – Anthony Calist Komu CHADEMA
  13. Moshi Mjini- Jaffary Michael –CHADEMA
  14. Mtwara Mjini - Maftaha Abdallah Nachuma CUF
  15. Ndanda- Cecil Mwambe CHADEMA
  16. Rombo- Joseph Selasini CHADEMA
  17. Same Magharibi- Livinston N Kaboyoka CHADEMA
  18. Serengeti - Chacha Marwa Ryoba – CHADEMA
  19. Siha - Dr. Godwin Mollel CHADEMA
  20. Singida Mashariki – Tundu Lissu CHADEMA
  21. Tandahimba- Ahmed Katani CUF
  22. Tanga Mjini – Musa Bakari Mbarouk CUF
  23. Tarime Mjini - Esther Matiko CHADEMA
  24. Tarime Vijijini – Heche john CHADEMA
  25. Tunduma – Mwakajoka Frank CHADEMA
  26. Vunjo – James Mbatia NCCR-MAGEUZI
 
Back
Top Bottom