Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Mkuu na bado! mbona watakimbia wengi humu?

Hakimbiii mtu hapa tutapambana hata tukiwa nje ngoja tuone hizo mbwembwe zenu za hapa kazi tu manake wananchi kwa sasa wapo macho kuliko kipindi cha nyuma unakumbuaka ile ya ari nguvu na kasi mpya vilitusaidiaje "Angalizo" Msijikweze msije mkashushwa.
 
Inakuwaje kura hadi zaidi ya 3000 katika jimbo moja kukataliwa? Hizi zingekuwa muhimu kuamua yupi awe kiongozi, hivi ni k
 
Mtu ameenda amepiga foleni kwenda kujiandikisha...kisha akapiga foleni juani kwa masaa kadhaa then akaingia kupiga kura na kuiharibu!!! Tuna safari ndefu sana na hii demokrasia feki.
 
1. Moshi Mjini -CDM
2. Moshi vijijini-CDM
3. Rombo-CDM
4. Same Mashariki- CDM
5. Hai -CDM
6. Siha- CDM
7. Vunjo -NCCR
8. Arumeri Mashariki-CDM
9. Monduli-CDM
10. Simanjiro- CDM
11.Karatu -CDM
12. Kawe-CDM
13. Ubungo- CDM
14. Kibamba- CDM
15. Mbeya Mjini- CDM
16. Iringa Mjini - CDM
17. Bunda-CDM
18. Tarime Mjini- CDM
19.Tarime Vijijini- CDM
20. Rorya -CDM
21. Serentei- CDM
22. Bukoba Mijini-CDM
23. Ukonga- CDM
24.Buyungu- CDM
25. Singida Mashariki-CDM
26. Babati- CDM
27. Momba - CDM
28. Tunduma -CDM
29. Tandahimba - CUF
30. Mlimba -CDM
31. Kilombero - CDM
32.Ifakara -CDM
[TABLE="width: 192"]
[TR]
[TD]33. Mtwara mjini-CUF[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]34.Ndanda-CDM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]35. xxxxxi-CDM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]36. Kyerwa-CDM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]37. Tunduma-CDM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]38. Momba-CDM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]39.lupembe-CDM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]40. xxxx-CDM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]41. Tanga mjini -CUF[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]42. Kigamboni-CUF[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]43. Babati vijijini-CDM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]44. Kibondo -CDM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]45. Mchinga-CUF[/TD]
[/TR]
[/TABLE]



Ongeza kwenye List

Jimbo na Chama chake kilichoshinda

Mmmmh hapo kwenye ubungo, kibamba na kigamboni nec imetangaza au hisia tu.
 
Hakimbiii mtu hapa tutapambana hata tukiwa nje ngoja tuone hizo mbwembwe zenu za hapa kazi tu manake wananchi kwa sasa wapo macho kuliko kipindi cha nyuma unakumbuaka ile ya ari nguvu na kasi mpya vilitusaidiaje "Angalizo" Msijikweze msije mkashushwa.

Hahaaaaa, umenifurahisha umekubali matokeo ya kushindwa. Hongera sana!
 
Ningekuwa karibu na wewe ungejuta,huu sasa ni ujuha.
Kipi ana 'kipi' cha kumshinda Iron Lady Halima Mdee?
Hila zote zitashindwa, magamba mnataka kuingiza nchi vitani kwa uroho wenu wa madaraka.

Nifah mbona nasikia halima kashindwa? Yaani niliumwa gafla.
 
Ni uelewa mdogo sana watu au kufanya mambo kwa mihemko isiyo na tija kwa jamii,mtu hajui mfumo taratibu na sheria za Uchaguzi zilivyo anataka tu matokeo yatangazwe hata kama mabox hayajaletwa toka kwenye vituo,sasa unatangazaje matokeo?ooh wanataka kuchakachua,ki vipi,watu wa usalama wakichukua hatua ooh wanaonea,Ni shidaaaa!!!!!!!
 
wasukuma wamebip wengine tutajibu,huo ukabila wenu tutawaonyesha

Hii vita Mkuu siyo ya ukabila (Wasukuma v Wamasai/Wachagga) wala si kati ya CCM na UKAWA wala si YANGA na SIMBA bali ni vita ya UADILIFU (Magufuli) na UFISADI (Lowassa).
 
Dogo naishi kanda ya ziwa ingawa mimi ni mtu wa songea. Wasukuma mwaka huu siyo wale wa miaka ya 2005. Uchaguzi wa mwaka huu umeshehena usukuma haswa.

Asante sana Mkuu kwa vile unaishi kanda ya ziwa. Kule Songea kuna wasukuma pia? Magufuli huko ameendelea kufunika kama vile anavyofunika kanda ya ziwa, sasa hapo unasemaje. Kama wasukuma tungekuwa na ukabila huyo fisadi wenu asingepata hata 1%!.
 
Back
Top Bottom