Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Watu walijichanganya kutoka kwenye itikadi na msimamo wa chama hasa kauli mbiu ya Kukemea Ufisadi,watu waliimbiwa wimbo wa kumsema fulani ni fisadi hasafishiki hata kwa kutumia steel wire,baada ya muda mfupi wale wale waliokuwa wakipiga zumari wakayakana matamshi yao na kuja na kauli zenye kila harufu nzuri kuhusu mgombea wao,mara kubadili gea angani,baadhi ya Wachungaji walidiriki hata kuchukua maneno matakatifu ndani ya misahafu,Mgombea hakati kiu ya wasikilizaji waliokaa juani mchana kutwa,hayo ni matatizo makubwa ya kiufundi,pia kauli za wapambe nazo zilikuwa kero kubwa.Tatizo jingine ni ile kupinga kila kitu kwamba chama tawala hakijafanya lolote tangu tupate Uhuru.
 
1. Moshi Mjini -CDM
2. Moshi vijijini-CDM
3. Rombo-CDM
4. Same Mashariki- CDM
5. Hai -CDM
6. Siha- CDM
7. Vunjo -NCCR
8. Arumeri Mashariki-CDM
9. Monduli-CDM
10. Simanjiro- CDM
11.Karatu -CDM
12. Kawe-CDM
13. Ubungo- CDM
14. Kibamba- CDM
15. Mbeya Mjini- CDM
16. Iringa Mjini - CDM
17. Bunda-CDM
18. Tarime Mjini- CDM
19.Tarime Vijijini- CDM
20. Rorya -CDM
21. Serentei- CDM
22. Bukoba Mijini-CDM
23. Ukonga- CDM
24.Buyungu- CDM
25. Singida Mashariki-CDM
26. Babati- CDM
27. Momba - CDM
28. Tunduma -CDM
29. Tandahimba - CUF
30. Mlimba -CDM
31. Kilombero - CDM
32.Ifakara -CDM
[TABLE="width: 192"]
[TR]
[TD]33. Mtwara mjini-CUF[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]34.Ndanda-CDM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]35. xxxxxi-CDM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]36. Kyerwa-CDM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]37. Tunduma-CDM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]38. Momba-CDM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]39.lupembe-CDM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]40. xxxx-CDM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]41. Tanga mjini -CUF[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]42. Kigamboni-CUF[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]43. Babati vijijini-CDM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]44. Kibondo -CDM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]45. Mchinga-CUF[/TD]
[/TR]
[/TABLE]



Ongeza kwenye List

Jimbo na Chama chake kilichoshinda

Okay kumbe lengo ni kujaza tu idadi , naona tunduma ziko mbili na momba pia ila siyo ishu umefikisha 45
 
Natamani niwe raia wa Zenji kwa miaka 5 ijayo...
wale wame elimika nilikuwa nasikia kura za majimbo kadhaa kulikuwa hamna kura zilizo haribika kabisa jambo linalo ashiria watu wanajua wanalolifanya huku bara unashangaa kura 3000 eti zimeharibika yani hawakumpa rungwe, wala mama Anna bali zimeharibika. mtu anaacha shyghuli zake anaacha mji wake anajipanga mstari saa nyingine hata masaa 2 afu ana haribu kura si uendawazimu huu
 
Kwanza kwenye majimbo yao CCM haikufanya vizuri mfano Mbunge Zambi wa Mbozi teyari ameisha poteza,pili % za kura za urais wa CCM wala haziwaungi mkono maana majina yao wote yako chini ukitilia maanani tume inapiga rula kuanzia chini. Nawashuri waanze utaratibu wa kutumia hizo open vocha kujinusulu.
 
CUF - Bara baada ya Lipumba kuondoka ilibaki kuwa moja, NCCR wao hawakushtuka kuwa Kikula ki nguoni mwako wakabaki kusuguana na kutuhumiana kwa njama za kutaka kuuana bila kufahamu kuwa wanatumiwa. Kwa upande wa ZNZ hawakutetereka na matokeo unayaona.

Uzuri ni kuwa Mbatia kashinda Ubunge halali.

Dr. Slaa na Prof. Lipumba kazi kwenu endeleeni kula Mihogo.
 
Nina mpango wa kutafuta mwandani safi, shombeshombe wa Kizenji...

Miaka 5 ijayo nikatulie Zenji nitoke katika nchi ya utumwa Tanganyika...

Mmmmhhhhhh....!!!! Unahamu ya kuchinjwa live....!!!! Nenda kaishi huko...!!!!
 
Lowassa Akiingia Madarakani Jambo la kwanza TBC Iangaliwe Upya Kwa Kuwapumzisha Baadhi ya watendaji. Its shame

Kuona TV ya Taifa Ikionyesha Katuni...Duuh!!! Only in Tanzania.

Labda tumwombe Magufuli akiingia madarakani ndiye afanye hiyo kazi. Maana Lowasa anaelekea kufa kifo cha mende.
 
MGOMBEA ubunge jimbo la Kilombero, mkoani Morogoro, Peter Lijualikali ambaye ana hukumu mbili anazozitumikia kwa sasa, kesho anatarajiwa kusikiliza hukumu ya tatu katika kesi inayomkabili kwenye Mahakama ya Wilaya Kilombero. Anaandika Charles William ? (Lijualikali anayegombea ubunge kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akiungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), anatumikia adhabu ya kifungo cha nje kwa miezi sita na nyingine aliyolipa faini ya Sh. 520,000.


Muhalifu , jamabazi sugu amekua mbunge hii si sawa kwa mustakabali wa nchi yetu
 
Twende zetu.

Zenji kwa wajanja aisee, ngoja nikajichanganye huko. nasubiria wamalizie malizie mambo flani hivi...

Hata hivyo mi bado kukubali kushindwa (infact mi sijashindwa)
 
Hatimaye Godfrey Zambi wa CCM ambaye ni naibu waziri wa kilimo amebwagwa na Yohana wa Chadema huko Mbozi mashariki.

Mdee na Mnyika wamefanikiwa kutetea viti vyao.
 
Back
Top Bottom