izzo
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 2,812
- 6,409
Naona mmeamua kujifariji kwa Zanzibar.
mkuu onaonekana umejifungia songea so ujuh kinachoendelea mjini zanzibar wamekubali kuwa Singapore chini ya seif
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona mmeamua kujifariji kwa Zanzibar.
1. Moshi Mjini -CDM
2. Moshi vijijini-CDM
3. Rombo-CDM
4. Same Mashariki- CDM
5. Hai -CDM
6. Siha- CDM
7. Vunjo -NCCR
8. Arumeri Mashariki-CDM
9. Monduli-CDM
10. Simanjiro- CDM
11.Karatu -CDM
12. Kawe-CDM
13. Ubungo- CDM
14. Kibamba- CDM
15. Mbeya Mjini- CDM
16. Iringa Mjini - CDM
17. Bunda-CDM
18. Tarime Mjini- CDM
19.Tarime Vijijini- CDM
20. Rorya -CDM
21. Serentei- CDM
22. Bukoba Mijini-CDM
23. Ukonga- CDM
24.Buyungu- CDM
25. Singida Mashariki-CDM
26. Babati- CDM
27. Momba - CDM
28. Tunduma -CDM
29. Tandahimba - CUF
30. Mlimba -CDM
31. Kilombero - CDM
32.Ifakara -CDM
[TABLE="width: 192"]
[TR]
[TD]33. Mtwara mjini-CUF[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]34.Ndanda-CDM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]35. xxxxxi-CDM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]36. Kyerwa-CDM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]37. Tunduma-CDM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]38. Momba-CDM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]39.lupembe-CDM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]40. xxxx-CDM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]41. Tanga mjini -CUF[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]42. Kigamboni-CUF[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]43. Babati vijijini-CDM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]44. Kibondo -CDM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]45. Mchinga-CUF[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Ongeza kwenye List
Jimbo na Chama chake kilichoshinda
Naona mmeamua kujifariji kwa Zanzibar.
mi mwenyewe nimeanza mchakato toka jana, wacha nikaonje mabadiliko japo kiduchu.
wale wame elimika nilikuwa nasikia kura za majimbo kadhaa kulikuwa hamna kura zilizo haribika kabisa jambo linalo ashiria watu wanajua wanalolifanya huku bara unashangaa kura 3000 eti zimeharibika yani hawakumpa rungwe, wala mama Anna bali zimeharibika. mtu anaacha shyghuli zake anaacha mji wake anajipanga mstari saa nyingine hata masaa 2 afu ana haribu kura si uendawazimu huuNatamani niwe raia wa Zenji kwa miaka 5 ijayo...
we are really insane zanzibar kuna majimbo kura zilizo haribika hakuna ni 0 huku bara jimbo moja kura zimeharibika 3000 mpaka unajiuliza yani kuna watu wana vichwa au?Twende zetu.
CUF - Bara baada ya Lipumba kuondoka ilibaki kuwa moja, NCCR wao hawakushtuka kuwa Kikula ki nguoni mwako wakabaki kusuguana na kutuhumiana kwa njama za kutaka kuuana bila kufahamu kuwa wanatumiwa. Kwa upande wa ZNZ hawakutetereka na matokeo unayaona.
Nina mpango wa kutafuta mwandani safi, shombeshombe wa Kizenji...
Miaka 5 ijayo nikatulie Zenji nitoke katika nchi ya utumwa Tanganyika...
Lowassa Akiingia Madarakani Jambo la kwanza TBC Iangaliwe Upya Kwa Kuwapumzisha Baadhi ya watendaji. Its shame
Kuona TV ya Taifa Ikionyesha Katuni...Duuh!!! Only in Tanzania.
Hutajuta mkuu very clear mpk raha
Twende zetu.
Kwi! Kwi! Kwi!Kahama: CCM
Msalala: CCM
Solwa: CCM
Kishapu: CCM
Shinyanga Mjini: CCM
Na wewe ongeza list yako.