Baada ya majukumu ya kitaifa na kutafuta ugali hapo jana.........mida ya jioni nikaingia supermarket moja hapa jijini dar nikadaka baadhi ya vizawadi kwa ajili ya demu wangu.
Nimefika gheto nikaoga then nikampigia demu wangu huyo simu ili ikiwezekana nimpe kile nilichojipinda kama mtu wake......mara ya kwanza simu ikaita haikupokelewa........nikasubiri dakika tatu nikapiga tena kimya........nikapiga tena haikupokelewa.
Baada ya hapo nikatuma ujumbe mfupi...."baby upo wapi.....nahitaji kukuona baby"...........kwa haraka akareply "ndo unanikumbuka saivi".......nikashangaa sana.........Nikampigia simu tena hakupokea tena......ilikuwa mida ya saa 1 na nusu hivi usiku.
Basi bwana sababu nampenda sana yule binti nikamfuata jamaa angu mmoja tupo nae hapo kwa mtaa nikamuazima simu yake ili nimpigie huyu demu wangu since calls zangu hapokei.........kweli akapokea......"naniiii(nikamtaja jina lake).....nini tatizo mbona unanifanyia hivi?..........akajibu ."muda wote ulikuwa wapi kunitafuta.....ebu niache akakata simu"
Wakuu niseme ukweli niliumia mno........nikamrudishia jamaa simu yake nikawasha gari huku nimebeba zile zawadi nikaenda kimara mwisho nikazigawa kwa wale watu wanakuwepo pale darajani wakiomba msaada........nikarudi zangu geto nikalala zangu......Huyu demu wala msijali wakuu sitawaangusha nitafanya maamuzi sahihi kabisa kwake kwa alichokifanya.
Ni tukio gani ulikumbana nalo jana siku ya wapendanao?? liwe nzuri au jau kama langu.