Matukio ya kufurahisha ya Walevi wa Pombe!

Muzine

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2017
Posts
32,366
Reaction score
60,453
Pombe ni tamu sana lakini ina balaa lakeee!

Kama mimi nikiwa na stress nikilewa pombe nitaliaaa machozi hayoo mpaka mashavuni.

Yani mtu akinisemesha naangua kilio balaaa ila pombe bhn[emoji23][emoji23]

Wengine wakilewa pombe wanacheka chochote utakachoongea wanacheka tu maajabu!!!

Mwingine akilewa pombe anaimba nyimboo zoteeeee maajabu!!!

Mwingine anaanza kuongea kingereza akilewa pombeee vituko!!!

Kuna rafiki yangu wa Jf akilewa pombee anatoa siri zoteeeeee yani ataongea mambo yoteeee ukimuuliza kesho walaah anakataaa maajabu ya pombee .

Mwingine akinywa pombee akienda kunako 6 kwa 6 utakomaaaa atakupiga mashine mpaka uombee poooooh maaajabu ya pombe.

Wale wenzngu na mm tukinywa pombeee aibu inakuwa hamna tukifika kitandani tunajiachiaaaaa yani mpaka mpenzi wako anakushangaaaa ndo maajabu ya pombeeeee!



Mrs Jr Chamdeko.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] CHAMDEKOOOOO.... Hujatulia wallah
 
Mwanaume halisi anakunywa gongo na zinazofanana na hizo kama unakunywa castle lite wewe ni mdada anza kupaka wanja

Kama ni mwanamke unakunywa bidhaa za aina ya gongo hongera ushakuwa baba sasa..
 
Mimi napenda nikinywa nilewe haraka sasa bia hulewi haraka inabidi ninywe whisky nilewe haraka, na hapo Kama G yupo karibu ndio nataka nilewe haraka tukalale tu
Huwaga naona nachelewa mambo
 
ana kaulevi kengine si unajua tena?

teh teh kaka mimi naogopa kusema huo ulevi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…