Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunywa maji kwa wingi, ila kwenye pombe sikushauri.Soda situmiagi kabisa nina mwaka wa 3
Pombe ni tamu sana lakini ina balaa lakeee!
Kama mimi nikiwa na stress nikilewa pombe nitaliaaa machozi hayoo mpaka mashavuni.
Yani mtu akinisemesha naangua kilio balaaa ila pombe bhn[emoji23][emoji23]
Wengine wakilewa pombe wanacheka chochote utakachoongea wanacheka tu maajabu!!!
Mwingine akilewa pombe anaimba nyimboo zoteeeee maajabu!!!
Mwingine anaanza kuongea kingereza akilewa pombeee vituko!!!
Kuna rafiki yangu wa Jf akilewa pombee anatoa siri zoteeeeee yani ataongea mambo yoteeee ukimuuliza kesho walaah anakataaa maajabu ya pombee .
Mwingine akinywa pombee akienda kunako 6 kwa 6 utakomaaaa atakupiga mashine mpaka uombee poooooh maaajabu ya pombe.
Wale wenzngu na mm tukinywa pombeee aibu inakuwa hamna tukifika kitandani tunajiachiaaaaa yani mpaka mpenzi wako anakushangaaaa ndo maajabu ya pombeeeee!
Mrs Jr Chamdeko.
View attachment 785126
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi ni wa soda ila Ninafahamu kisa kimoja ambapo Dereva na Bosi wake walitoka Arusha wakielekea Dsm. Kwa kuwa walikuwa wanaelewana sana wakaamua kusimama Mombo kupata kinywaji ili safari yao isionekane ndefu na ilikuwa usiku. Baada ya kupata bia za kutosha walitoka Mombo wakiwa wamelewa. Walipofika Segera wakakunja kwenda Tanga bila kujitambua... walipofika Tanga wakadhani wako Dsm... wakaamua kulala gesti... kuamka asubuhi wanashangaa wapo Tanga!!!!
Hiyo ndio pombe!
Ndo maajabu ya pombeeeHuwa najiuliza huwa wanalilia nini hasa. Nilishwahi kaa na binti mmoja, kapiga savana kama 6, mara naona mtu kimya , mara chozi , sijajua sbb sauti ya mtu kulia.... hiyo night kali tuko pub na washkaji.. asubuhi kesho hana hata moja[emoji28][emoji28]
Acha Tu ndugu yanguDuuh ,bora ungewahi zako dawa za PEP,lkn Mungu ni mwema siku zote huenda hata hukupata maambukizi siku hyo.[emoji120]