Matukio ya kufurahisha ya Walevi wa Pombe!

Matukio ya kufurahisha ya Walevi wa Pombe!

Ukute anacheza halafu anau-position mdomo kama anakutishia vile.
Mwingine unakuta anaruka ruka kana kwamba anacheza rege ili hali wimbo si wa jamii hiyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]loooh
 
Ukitaka kujua pombe sio chai, sikiliza wimbo wa Marijani Rajab (Jabari la muziki) uitwao "pombe si chai".

Vv
 
hhhhaaaaaa mie huwa naenda na beats
Hongera,nakumbuka kuna siku moja maeneo flani bendi ya Hussein Jumbe ilikuwa inapiga,sasa nikasema ngoja nami nikacheze, mmama akanifuta bhana tukawa tunacheza wote,mara tukakumbatiana nami nikaanza kupapasa kama shanga zipo(maana nazipenda hatari),nikazikuta, mara yule mama akaniambia wewe kaka mimi nakupenda tuondoke wote bhana ukanitohombe,nikamwambia usijali hata mimi nakupenda.
Ulipoisha wimbo kama aliniona shubaaaaamit.
 
Acha mambo hayo mkuu. Tuna RB yako huku unasakwa kimbwa! Hahahahaaaa
 
Ameandika tiali badala tayari so nikashangaa huo uandishi kwa mtu makini kama yeye au kujichanua kwako chanuuuuu kumempelekea kupata tatizo la uandishi teh teh
Hahahahhah nimecheka sana akiii
 
Umenifanya nifadhaike maana hiyo niliyoipata,ukijumlisha na chura aliyesemwa na mdau wa jana basi dah.....
Ukijumlisha na mchawi kudata hapooo ndo kabisaa unasandaaa
 
mm ht unibembeleze vp sitakunywa tena magic moment!ila una kichwa cha panzi !niliwah kunywa magic moment sikumbuk kbs nilifikaje hom!nakumbuka nilifikia room kulala !iko siku ntamuask dada wa kazi aisee ile kitu SIO!POLE SANA!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom