Matukio ya kufurahisha ya Walevi wa Pombe!

Kuna jamaa yangu yeye akilewa anawakumbuka ndugu,jamaa na marafiki waliofariki sasa kinachofuata ni kilio cha haja.
Akianza kulia tu mmoja mmoja tunaanza kuondoka na baadae akijikuta yuko peke ndio anazidisha kilio aisee.
 
hahhaahahha kuna watupombe haziwataki aisee!dah!mm nilikua nalia zaman naanza kujifunza ...lol sasa hv!!nipo km NAHUJA
 
Kuna jamaa yangu yeye akilewa anawakumbuka ndugu,jamaa na marafiki waliofariki sasa kinachofuata ni kilio cha haja.
Akianza kulia tu mmoja mmoja tunaanza kuondoka na baadae akijikuta yuko peke ndio anazidisha kilio aisee.
Hahahaha loooh huwa anahisi yupo kuzimu akiiii
 
Back
Top Bottom