Matukio ya kufurahisha ya Walevi wa Pombe!

Matukio ya kufurahisha ya Walevi wa Pombe!

Hongera,nakumbuka kuna siku moja maeneo flani bendi ya Hussein Jumbe ilikuwa inapiga,sasa nikasema ngoja nami nikacheze, mmama akanifuta bhana tukawa tunacheza wote,mara tukakumbatiana nami nikaanza kupapasa kama shanga zipo(maana nazipenda hatari),nikazikuta, mara yule mama akaniambia wewe kaka mimi nakupenda tuondoke wote bhana ukanitohombe,nikamwambia usijali hata mimi nakupenda.
Ulipoisha wimbo kama aliniona shubaaaaamit.

ahhaahah mie nasemaga kushuka pombe chin ni ww unavyojituune aisee!we nae ulimpa vishawish vya kumpapasa uno!ila ana guts za kufa mtu....maskin zilimpanda!
 
yaan hatari sana.....mm na kucheza muziki dah
Mm bia silewi huwa natumia vitu vikal kali kama Black label Hennesy JD Vicerory Balleys kama nimefulia kabisa nakunywa Red label na Kvant
 
ahhaahah mie nasemaga kushuka pombe chin ni ww unavyojituune aisee!we nae ulimpa vishawish vya kumpapasa uno!ila ana guts za kufa mtu....maskin zilimpanda!
Teh teh kwahiyo ningemkula tu au sio mkuu?
Ila hata mimi alinidindisha hatari nikawa nacheza huku mbele pametutumka hatari
 
Mm bia silewi huwa natumia vitu vikal kali kama Black label Hennesy JD Vicerory Balleys kama nimefulia kabisa nakunywa Red label na Kvant
wifi mie vinywaj unavyotumia mm hapana...uwiiiii!ila grants nimewah jarib kwa kumix na soda !ww gia zako kuuuuuuubwa!lol
 
Wewe sodaaaa usiniambie unafuga nyuki
Siku hizi Savannah kidogo kama 2 hivi ila nachangamka, zamani nishawahi kunywa mie kucheka tabasamu mpaka mwisho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
M nilikunywaga bombadia 1 na Safar 4 pale Kimboka nkalewa chakari halaf nikang'oa Malaya pale nkapiga peku kuamka Asubuh demu ana upele hatari mwili mzima nkajua hapa nshakufa mie mpaka sasa sithubutu kwenda kupima afya
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mm mwenzio nakunywa vikali kama sina akili vizuri
Hongera sana mie sina ubavu huo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
M nilikunywaga bombadia 1 na Safar 4 pale Kimboka nkalewa chakari halaf nikang'oa Malaya pale nkapiga peku kuamka Asubuh demu ana upele hatari mwili mzima nkajua hapa nshakufa mie mpaka sasa sithubutu kwenda kupima afya

Una balaa mdogo wangu
 
Duuh ,bora ungewahi zako dawa za PEP,lkn Mungu ni mwema siku zote huenda hata hukupata maambukizi siku hyo.[emoji120]
 
Back
Top Bottom