Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawaNakuja basiii
mbona sioni notification, ngaja nimtafute hazardNenda kwa hazard ukaone nimekutag
huwaga wanasema ukilewa lazima uongee ukweli lakini hiyo kitu kwangu mimi iko tofauti yani, nikilewe nakuaga muongo vibaya mnoooooo, Pia shule yenyewe ni ya hapa na pale lakin zile alc 36% za miwa zinanifanyaga niwe msomi kishenzi sana
Wazinzi wewe na baba mkwe hahahahSina ham na pombe aisee nakumbuka nilikua nimetulia maeneo ya governor kinondon nime piga kill mbili tatu nikamuona baba mkwe ikabidi tujumuike tukachafua meza pale uku tunapiga story ,sasa jirani yetu kulikua kuna mizigo ya ukwel Baba mkwe nkaona kasha sogeza mmoja mi nikawa na Shangaa shangaa tu sijakaa vizuri kanipigia pande/ pass kwa dem mwingine bonge la toto aisee kilicho fata ilibaki siri yetu na tangu hiyo siku baba mkwe ana ni kubali vibaya
Wazinzi wewe na baba mkwe hahahah
Tueleze mkuu kwa nini huitaki tena???Sitaki tena pombe,sitaki nakataa
Dah nimecheka kinyama mpaka kwenye mwendokasi watu wababishangaa. Dah hii kali aise [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii ndio JF
Maaajabu
Mkuu huyo dingi hana kabint kengine niwe mkwe ?Sina ham na pombe aisee nakumbuka nilikua nimetulia maeneo ya governor kinondon nime piga kill mbili tatu nikamuona baba mkwe ikabidi tujumuike tukachafua meza pale uku tunapiga story ,sasa jirani yetu kulikua kuna mizigo ya ukwel Baba mkwe nkaona kasha sogeza mmoja mi nikawa na Shangaa shangaa tu sijakaa vizuri kanipigia pande/ pass kwa dem mwingine bonge la toto aisee kilicho fata ilibaki siri yetu na tangu hiyo siku baba mkwe ana ni kubali vibaya
Mkuu huyo dingi hana kabint kengine niwe mkwe ?
Nitupie cross dongo nitakakuza mdogo mdogo tu bwashee[emoji12][emoji23][emoji23][emoji23] kapo mkuu ila kapo O‘level
Nitupie cross dongo nitakakuza mdogo mdogo tu bwashee[emoji12]
We mwanamkeBasi nitamtafuta cha mdeko anifundishe. Nimeshajua pa kumpata