Matukio ya kufurahisha ya Walevi wa Pombe!

Matukio ya kufurahisha ya Walevi wa Pombe!

Yesu wangu. Vitu vingine vinatia kinyaa kuviona. Hivi mliwezaje kushuhudia muda wote huo?

Hatukukaa pale mezani kumtizama, tulisimama na kumtishia kumpiga. Alikuwa na bahati kwani tulikuwa tumekaa gizani kidogo kwa hiyo watu hawakutuona tulivyomtishia jamaa ama kumuona jamaa anajichua kutaka dushe lisimame ili ajipimishe na wenzie.
 
Duuh makubwa haya
 
Kuna mshikaji alikunywa sana pombe mpaka network ilikuwa inashindwa ku-load. Akaenda kujisaidia chooni huku akituacha mezani tukiendelea kunywa povu letu. Baada ya muda tukaona wahudumu na baadhi ya wanywaji wanakimbia, kidogo mshikaji akatokea yuko uchi kabisa hana hata nguo hata moja ila kabakia na viatu na soksi tu mwilini mwake. Jamaa akaelekea pembeni ya baa pale wanapouza nyama choma eti anatafuta mbuzi huku kashika dushe lake, tukajiuliza huyu mshikaji zile shutuma zake za kubaka mbuzi wake zikawa kweli au? Pombe ukiichezea itakuumbua tu, si chai ile.
Dah nimecheka kinyama mpaka kwenye mwendokasi watu wababishangaa. Dah hii kali aise [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii ndio JF
 
Back
Top Bottom