Matukio ya kufurahisha ya Walevi wa Pombe!

Mwanaume halisi anakunywa gongo na zinazofanana na hizo kama unakunywa castle lite wewe ni mdada anza kupaka wanja

Kama ni mwanamke unakunywa bidhaa za aina ya gongo hongera ushakuwa baba sasa..
Weye acha wehu, Wallah!Nimecheka sana.
 
Unakuta mtu akilewa anatongoza kila anayepita tena kwa sauti kubwa au kaja mkimya ila baada ya pombe mbili tatu mtu tafauti kabisa. Anashika matako ya kila mwanamke apitaye mbele yake.
Mimi nikilewa nacheza sana mziki kwani najua kwelikweli kucheza ila zaidi muziki wa reggae alafu utani mwingi...
 
Hahahahaaa. Utakuwa unarusha miguu kama unalima.
 
Back
Top Bottom