Matukio ya kufurahisha ya Walevi wa Pombe!

Matukio ya kufurahisha ya Walevi wa Pombe!

pombe huwa inategemea na aina kuna nyingine ukinywa unakuwa smart nyingine lazima kichwa iruke na nyingine HAMU sana na zengine kuchoka na kuumwa. ila mimi nikinywa konyagi lazima niende club ila kitu kama k vant za kistaarabu safari na castelar lager FRESH. ila hizi zingine sasa.
 
mwanaume halisi anakunywa gongo na zinazofanana na hizo kama unakunywa castle lite wewe ni mdada anza kupaka wanja
kama ni mwanamke unakunywa bidhaa za aina ya gongo hongera ushakuwa baba sasa
Hahahahahhaahh loooh unatafuta ugomv na wanaume wa Dar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi napenda nikinywa nilewe haraka sasa bia hulewi haraka inabidi ninywe whisky nilewe haraka, na hapo Kama G yupo karibu ndio nataka nilewe haraka tukalale tu
Huwaga naona nachelewa mambo
Hiyo ya kwako kibokooo anza kunywa Balentine basiii

Presidantial wala siipend silewi haraka bora JD

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom