Matukio ya kufurahisha ya Walevi wa Pombe!

Unaweza ukajinyea kitandani mbele ya mpenzi wako, yote ni maajabu ya pombe

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ndo maajabu ya pombe hayoo

Sent using Jamii Forums mobile app
kuna jamaa yangu ukimuona kama hanyi pombe ila akinywa sasa ata anza kumtukana manzi ake alie zaa nae kipindi hicho na usiombe awe na pesa za mshahara ananywea zote ila sasa ngoja kesho yake anakuwa na mawazo maana anakuwa ametafuna kama sio yote basi nusu nzima. kama sina pesa huwa simuonei huruma mi na twanga tu
 
Looooh hebu mshauri apunguzee bhn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom