Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
Hivi wewe ukinywa unakuwa na vituko gani?[emoji6][emoji6][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila hata wa soda wana matukio yao ya kufurahisha ujue, kuna jamaa yangu anakunywaga sprite na Maji tu ila akitoka hapo unashangaa anayumba na kachangamka kweli (nahisi atakua ni mwigizaji)
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app