Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
- Thread starter
- #121
Acha pombeeewKuna siku naelekea mkoani ndani ya bus nimebebe tukopo twangu twa castle lager aaah mi kakiisha haka nafungua,fungua na wewe asee katikati ya safari tumbo acha linisumbue huku na kule nikamtapikia jirani yangu mbaya alikua kijeba asee ule ugomvi mule ndani ilibidi nishukie njiani !
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app