Matukio ya kufurahisha ya Walevi wa Pombe!

Matukio ya kufurahisha ya Walevi wa Pombe!

kuna jamaa alikuaga ananifatilia nikawa namzungusha, basi mwaka jana kwenye siku yng ya kuzaliwa, akawa ameniandalia ki party cha kawaida tu nyumban kwa mshikaji wake. kiuhalisia me c muongeaji, mpole sana. nikaanza kunywa magic moment na nilkua cjawah kuinywa, baada ya muda mfupi unaambiwa nilianza ongea balaa, mbaya zaid nikaanza kuomba dushe mbele za watu, jamaa kuona vile akanipakia kwenye gari kunirudsha hm, kilichoendelea ndani ya gari ctakagi hata kukumbuka. "shikamoo pombe"
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee malizia basi kilichoendelea ndani ya gari[emoji12]
Yani ulivyoacha ni sawa na mtu aliyejiandaa kupiga bonge la chafya ghala ikarudi nafikiri unayajua maumivu yake[emoji6]
 
hahahaha, ushuhuda wa pombe: Nje ya mada: Kuna kaka huwa tunalewa naye, eti siku hiyo alivyolewa akaanza kuongea kwa sauti kubwa "YAANI MIMI NIKINYWA POMBE, LAZIMA ASUBUHI YAKE NINYE, TENA NAKUNYA MAVI MENGIII, NAKUNYWA MARA TATU" hahahahah. Halafu ni kaka "hensamu" mtumishi wa NSSF. hahahahahah Pombe hiiiiziiiiiii
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee malizia basi kilichoendelea ndani ya gari[emoji12]
Yani ulivyoacha ni sawa na mtu aliyejiandaa kupiga bonge la chafya ghala ikarudi nafikiri unayajua maumivu yake[emoji6]
ha ha ha ha! ni mambo ya aibu sana mkuu, licha ya kupigwa dushe ndani ya gari, kufika home nilifunguliwa na mama, c nikaanza mlazmisha jamaa twende tukaendeleze game ndani huku mama kacmama mlangoni ananisubiri niingie ndani ili afunge mlango.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We kweli kiboko, nafikiri kwa hilo tukio ulokole wako utakua umefika level za juu kabisa[emoji2]
Au bado unaendeleza kupiga maji?[emoji12]
 
huwaga wanasema ukilewa lazima uongee ukweli lakini hiyo kitu kwangu mimi iko tofauti yani, nikilewe nakuaga muongo vibaya mnoooooo, Pia shule yenyewe ni ya hapa na pale lakin zile alc 36% za miwa zinanifanyaga niwe msomi kishenzi sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
huwaga wanasema ukilewa lazima uongee ukweli lakini hiyo kitu kwangu mimi iko tofauti yani, nikilewe nakuaga muongo vibaya mnoooooo, Pia shule yenyewe ni ya hapa na pale lakin zile alc 36% za miwa zinanifanyaga niwe msomi kishenzi sana
Hahahahhahaha umetishaaaaaa
 
Back
Top Bottom