Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
- Thread starter
- #61
Jibu mubasharahapa mbona ni home kwangu kabisa best? ama hujui hii inaitwa Jamii forum
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu mubasharahapa mbona ni home kwangu kabisa best? ama hujui hii inaitwa Jamii forum
Hahahahhahah loooooh jaman nashindwa hata kujibuUmeolewa na mganga na unakunywa pombe, mizimu ikija kukuamulia siku utajikuta umegeuzwa simbi inayozungushiwa kibuyu cha uganga
Sent using Jamii Forums mobile app
Handsome hatari angalia wasimnyapieeee utafanywa kama ya chakubangaHahaahahah sio mtu mzuri kateka wote hao
Mnapigaaaa show mpaka kitanda kinaanza kuimba kwinyo kwinyoooo kwenye chagaHaswa akiwepo kidume pembeni
Sie tuliookoka wala hatuna taabu na mtu![emoji53][emoji53][emoji53]haaaah
sisi wa soda hatujui hayo
Loooh wewe kiboko sikuwaza hiloooKonyagi kwenye chupa ya maji, anachanganya na hiyo sprite.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sema tu zinashuka chini.......kama jamaa hayupo unatusumbuaga sana wewe ukilewaga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umeolewa na mganga na unakunywa pombe, mizimu ikija kukuamulia siku utajikuta umegeuzwa simbi inayozungushiwa kibuyu cha uganga
Sent using Jamii Forums mobile app
Pombe haina adabuuuKuna mmama alilewa pombe akawa anatukana tukana ovyo mtaani, acha aanze kumtangaza mme wake ana kibamia,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]Pombe inamaajabu yake walahi!!!View attachment 785152
Hahahhahahaha loooh tena wengine wanaagizaga Grand malta mweeeehhahhahahahah na sisi tukikaa nyuki ni wengi tu so inakuwa ngoma droo
teh teh cha mdeko umetisha?
Zingine unaweza kutoa siripombe huwa inategemea na aina kuna nyingine ukinywa unakuwa smart nyingine lazima kichwa iruke na nyingine HAMU sana na zengine kuchoka na kumwa. ila mimi nikinywa konyagi lazima niende club ila kitu kama k vant za kistaarabu safari na castelar lager FRESH. ila hizi zingine sasa.
Wanaume wa Dar wanalewa savvanasavana ni za wanawake za kujifunzia
Hongera ulevi wako churaSie tuliookoka wala hatuna taabu na mtu![emoji53][emoji53][emoji53]
Sent using Jamii Forums mobile app