Matukio ya kufurahisha ya Walevi wa Pombe!

kuna wengine wakilea wanajua kuwa makini kutongoza mpaka kupiga mzigo
 
aisee baada ya tukio lile cjanywa tenaa, jamaa mwenyewe alinyosha mikono juu na kunishaur niendelee tu na ulokole wangu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umefanya jambo lililo jema, mwambie jamaa awe anakutoa mara moja moja mnatafuta kahoteli mnajifungia mnapiga ulabu vituko vinaanza na kuishia humo humo[emoji40] [emoji125]
 
Chamdeko hutaja aina za vilevi, wengine vituko vyao baada ya kulewa ni kelele za furaha hahaaaa
 
Mm nikipiga mambo zangu najiamini sana na hivi nilivyo kibonge najiona mara mbili yake kama pepe kale
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
ha ha ha ha! ni mambo ya aibu sana mkuu, licha ya kupigwa dushe ndani ya gari, kufika home nilifunguliwa na mama, c nikaanza mlazmisha jamaa twende tukaendeleze game ndani huku mama kacmama mlangoni ananisubiri niingie ndani ili afunge mlango.
Duh! Wewe sasa ulizidisha hiyo pombe![emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Uliyataka wewe.
 
Nilifanyaga kampeni ya 'chonde chonde ulevi noma' asee nilikua na dili na kikundi Fulani huko temeke,yaani kuna visa MTU anakusimulia unacheka halafu unabaki kusikitika ,kweli 'fundo moja tu linaweza kukuumbua'

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe huyo umefanya hiyo kampeni?? Nicheke kihutu hihihihihihii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…