Matukio ya kufurahisha ya Walevi wa Pombe!


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yesu wangu. Vitu vingine vinatia kinyaa kuviona. Hivi mliwezaje kushuhudia muda wote huo?
 
Poleee
 
Wale wenzangu na mie walevi wa juice ya miwa hapa tuna pata kigugumizi..,
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ulimchenjia mtu kwa maneno matupu au kwa vitendo?
Kwa maneno ila shughuli aliipata maana alinizingua uwanja wa home. Alikula kichapo na nje akatolewa. Hapa katoka nipigia simu nimemwambia namba yangu aione kama kituo cha polisi
 
Tatizo Nefaland bwana ntakunywa kwa mawazo.

Nimeona Governors wametangaza Heineken kesho ni 2,500/= kwa mida ya game.

Mpaka sasa sijasikia kokote kwenye Big Screen, wasije kusababisha nikatafute mahali palipo na projector.

Maana nataka kuangalia details za game nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…