Matukio ya kufurahisha ya Walevi wa Pombe!

Matukio ya kufurahisha ya Walevi wa Pombe!

nimecheka kwa nguvu jamani Thad

loooh wakati unasema hivyo vituko uniite nirekodi tafadhali, pombe ikiisha iwe burudani kwako
Wala huhitaji kujisumbua kurekodi maana vituko vyangu utaviona mubashara hapa, nitakunywa nilewe halafu nianze kukomenti humu kwa kutumia akili za pombe
 
Huo unajisi umeanza lini?[emoji23][emoji23][emoji23]
Tangu ile siku nilipo kata bimbadia nzima pekeyangu, na nikajikuta nasahau mlango wa kuingilia chumbani kisha nikaelekea maliwato kulala...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom