Matukio ya kufurahisha ya Walevi wa Pombe!

Mimi ni wa soda ila Ninafahamu kisa kimoja ambapo Dereva na Bosi wake walitoka Arusha wakielekea Dsm. Kwa kuwa walikuwa wanaelewana sana wakaamua kusimama Mombo kupata kinywaji ili safari yao isionekane ndefu na ilikuwa usiku. Baada ya kupata bia za kutosha walitoka Mombo wakiwa wamelewa. Walipofika Segera wakakunja kwenda Tanga bila kujitambua... walipofika Tanga wakadhani wako Dsm... wakaamua kulala gesti... kuamka asubuhi wanashangaa wapo Tanga!!!!

Hiyo ndio pombe!
 
Huwa najiuliza huwa wanalilia nini hasa. Nilishwahi kaa na binti mmoja, kapiga savana kama 6, mara naona mtu kimya , mara chozi , sijajua sbb sauti ya mtu kulia.... hiyo night kali tuko pub na washkaji.. asubuhi kesho hana hata moja[emoji28][emoji28]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huwa najiuliza huwa wanalilia nini hasa. Nilishwahi kaa na binti mmoja, kapiga savana kama 6, mara naona mtu kimya , mara chozi , sijajua sbb sauti ya mtu kulia.... hiyo night kali tuko pub na washkaji.. asubuhi kesho hana hata moja[emoji28][emoji28]
Ndo maajabu ya pombeee
 
Aiseee kweli kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mimi nilipiga k vant chupa kubwa nili beba demu ni kampa twente kufika gest hata sikugonga nikazima dem kasepa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…