Yeaaah nikwel nawakapotea hatujawaona tena kulikua najamaa linakiduku chakwenda2004 kulikuwa na mashindano ya Euro nakumbuka ugiriki alichukua ubingwa kwa namna isiyotarajiwa.
Na ni mwaka ambao ulimtambulisha wyne rooney kimataifa, jamaa alikuwa anapiga mabao makali balaa.
Alikua hata hajatungwa mimba badoNajua huo mwaka ulikuwa bado unalilia titi la mama😂
Kitambo kirefu kweli kweli huyo mchungaji bado anaishi?Nilikuwa naanza kutumia operating system mpya ya Ubuntu Linux.
Nilikuwa nasoma kitabu cha Bill Clinton "My Life".
Nilikuwa nafuatilia michezo ya Olympics ya Athens.
Hanging out with traders on the floor of The New York Stock Exchange.
Broadway plays.
Discovering Bittorrent.
Nimemsaidia mchungaji wa Kimarekani aliyekwama kupitisha mizigo ya msaada kwa wakulima bandarini Dar baada ya kusoma malalamiko yake Youngafrican.com (or was it JF? Tulikuwa hatujaanza ku hang out JF by then)
Chasing Spelman "sororitities" sisters.
Noma mzee sema majina yao magumu kukariri .Yeaaah nikwel nawakapotea hatujawaona tena kulikua najamaa linakiduku chakwenda
Ikiwa wewe ndiye yule jamaa wa ICAP uliyekuwa unapenda kuja kule Uzunguni alikokuwa anaishi mkuu wa mkoa na pia ukawa mwanangu Sana ila baadaye yule demu wa Nyakanyasi aliyekuwa secretary wa mkuu wa wilaya alitugombanisha baada ya Mimi kumtongoza na akakubali bila kujua kuwa alikuwa demu wako .Umenikumbusha mbali sana enzi hizo nipo bukoba mjini nafanya kazi Na icap , maeneo ya zamzam tulikuwa Na project yetu ya" Ishi" ya kuwakusanya vijana pamoja
Aiseee...na Mikasi ya Magwair (rip) ilitoka wakazipiga ban zote 😂Tukio lingine la kukumbukwa mwaka 2004 ni lile la kibao cha wimbo unaohusu masuala mazima ya Virus vya Ukimwi na Ukimwi kilichotambulika km 'Usione Soo, Sema Nae', kibao hicho kilifanywa na wasanii wa kipindi hicho ambao walikua wanatamba sana kimuziki kuanzia kwenye redio mpaka kwenye Televisheni, wasanii hao wakiwa chini ya Ishi Organization in Tanzania iliyoendesha Ishi Campaign ambapo wasanii hao waliunda kundi lililofahamika km 'Ishi Stars'.
Kundi hilo lilisheheni wasanii wakali wa kipindi hicho km vile Pauline Zongo, Stara Thomas, Banana Zoro, Benjamin wa Mambo Jambo, Mr Paul, Solo Thang, Raha P, Dataz, Patricia,
Huku chorus ya wimbo huo ikiimba :
“Usione soo sema naye, kuhuusu kusubiri, kuwa mwaminifu au tumia kondom. (Don’t be shy. Talk with your partner about abstinence, being faithful, or using a condom).”
View attachment 3131178
Dah, hata sijui itabidi nimfuatilie.Kitambo kirefu kweli kweli huyo mchungaji bado anaishi?
Labda watakufikiria wazo lakoDah watu ni wahengaaaa kweli tusichukuliane poa.
Wengine wanaonekana ni watu wenye nyadhifa mahali flani flani.
JF inaonekana kuwa na watu walioshiba kila idara. Sijui kwanini JF imeshindwa kuwa na kitu kikubwa cha kuwainganisha wanachama wake na kuwa na kitu chenye impact kwa members wake nje ya JF (mbali na Yale Mashindano ya stories of change)
Kausha bwasheeNajua huo mwaka ulikuwa bado unalilia titi la mama😂
JF wasn’t around then. There was Youngafrican.com, Tanzatl.org, Darhotwire, and Bcstimes.com.Nilikuwa naanza kutumia operating system mpya ya Ubuntu Linux.
Nilikuwa nasoma kitabu cha Bill Clinton "My Life".
Nilikuwa nafuatilia michezo ya Olympics ya Athens.
Hanging out with traders on the floor of The New York Stock Exchange.
Broadway plays.
Discovering Bittorrent.
Nimemsaidia mchungaji wa Kimarekani aliyekwama kupitisha mizigo ya msaada kwa wakulima bandarini Dar baada ya kusoma malalamiko yake Youngafrican.com (or was it JF? Tulikuwa hatujaanza ku hang out JF by then)
Chasing Spelman "sororitities" sisters.
Hahaha. Nilijua tu Spelman watakuleta hapa.JF wasn’t around then. There was Youngafrican.com, Tanzatl.org, Darhotwire, and Bcstimes.com.
Bcstimes.com later on morphed into the first JF [Jamboforums.com]. This was late 2005 to early 2006.
2004 was the height of BMF before the Feds came knocking in 2005 and took them down.
Any halfway decent looking Spelman baddie probably couldn’t escape them BMF ninjas 🤣.
Hii ndio yenyewe sasa, umenikumbusha mbali sana.
Enzi hizo shule ya msingi, huo wimbo ulikuwa unapigwa kila siku saa 2 asubuhi Radio One, nilikuwa naupenda mno!
Baada ya hapo ndio majarida ya FEMA yakaanza kutoka, akina Amabilis Batamula na Anko Josh.
Unakuta unajibizana na wazee wako 😅😅 mue na adabu vijana☺️😊huu uzi wamejaa mashangazi na mamijomba!.. hapa sie akina kenzy tukipiga kelele basi kwenzi moja nzito lazima ihusike!
Mhariri hasani bumbuli.Ilianza FEMINA wakabadili jina ikawa FEMA.
Nakumbuka nilikuwa na majarida yale ya FEMINA walikuwa wanagawa kwenye shule ,nakumbuka jarida lilikuwa na Sisters with Voice front page la mwaka 2000.
Shule Library yalikuwa kibao tunajisomea.
Nili ingia YouTube nimecheki videoPale inapoanza ndio unapapenda kile kidada kinavyojiliza km kipo kwenye orgy?