Tukio lingine la kukumbukwa mwaka 2004 ni lile la kibao cha wimbo unaohusu masuala mazima ya Virus vya Ukimwi na Ukimwi kilichotambulika km '
Usione Soo, Sema Nae', kibao hicho kilifanywa na wasanii wa kipindi hicho ambao walikua wanatamba sana kimuziki kuanzia kwenye redio mpaka kwenye Televisheni, wasanii hao wakiwa chini ya
Ishi Organization in Tanzania iliyoendesha
Ishi Campaign ambapo wasanii hao waliunda kundi lililofahamika km '
Ishi Stars'.
Kundi hilo lilisheheni wasanii wakali wa kipindi hicho km vile Pauline Zongo, Stara Thomas, Banana Zoro, Benjamin wa Mambo Jambo, Mr Paul, Solo Thang, Raha P, Dataz, Patricia,
Huku chorus ya wimbo huo ikiimba :
“
Usione soo sema naye, kuhuusu kusubiri, kuwa mwaminifu au tumia kondom. (Don’t be shy. Talk with your partner about abstinence, being faithful, or using a condom).”
View attachment 3131178