Matukio ya kukumbukwa mwaka 2004

Wengine huo mwaka ndipo walipo anza safari kujifunza MOFIMU.

MOFIMU: NI MFUMO WA SAUTI ZA NASIBU ZINAZOZUNGUMZWA NA WATU WA JAMII FULANI ZENYE KULETA MAANA KAMILI

MOFIMU HURU
MOFIMU TEGEMEZI.
 
Greece kuchukua Euro kwa kumfunga mwenyeji Portugal mechi ya ufunguzi na fainali.

Hawa jamaa walikuja na style fulani ya mpira ya tofauti wakabeba kombe hilo.
 
ulikua unapigwa pia itv kabla ya habari ya saa 2
 
aiseee unatukumbusha mbali sana!old is gold
 
Nakumbuka nameenda shule na dumu litre 1 ya maji, fagio, mbolea, jembe na panga na hapo nimewai number ila mwisho wa siku nilikuja kuchapwa viboko vile vile walivyochapwa wenzangu ambao hawakuwa na hivyo vyote kwasababu ya nilisahau kukata kucha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…