Mwadiplomasia
Member
- Jul 9, 2012
- 52
- 9
Unajua wewe akili yako ndogo,Rais wangu hawajamaa kuwapa UHURU wa kuongea wanakosa ustaarabu,upende usipende mamlaka yoyote ile iwe mbaya au Nzuri imewekwa na MUNGU,maneno yako hayo machafu unayotoa unashindana na MUNGU aliyemweka HAPO alipo.Ndugu hutakiwi kumlaumu Rais wako hata kidogo,mimi sio mshabiki wa vyama ila lazima ukweli niseme.
KIKWETE NI RAIS SAFI,SIKULAZIMISHI UAMINI LAKINI HUO NDIO UKWELI.
MUNGU IBARIKI TANZANIA,WASEMEE WOTE WALIO KINYUME NA SERIKALI ULIYOWEKA WEWE
kama kikwete ni mjomba wako tutajuaje hata masheikn na wachungaji huchaguliwa na MUNGU lakini wäangukapo lazima waambiwe nina wasiwasi na elimu yako.