NINGEKUWA RAIS KIKWETE NINGEJIUZULU
Tangia raisi kikwete ameingia madarakani amekutwa na misuksuko mingi ambayo kiutendaji imemuonyesha kiundani namna alivyodhaifu kushughulikia matatizo yanayolikumba taifa
1.ufisadi . serikali yake ina kashfa nyingi za ufisadi ameshindwa kuzishughulikia. Kumbuka kwenye kamati kuu ya ccm MH LOWASA alipoambiwa ajivue gamba akasema aanze mwenyekiti kwani yeye anajua issue yote ya Richmond na dowans hivo aanze yeye KIKWETE kwa woga wa kumface lowasa wakaipotezea issue ya kuvua gamba.
2. Tanzania tangia ipate uhuru haijawahi wananchi wake kususia sensa ila kwenye utawala wa huyu jamaa kila kitu kikaenda shaghalabaghala
3.ameshindwa kuwachukulia hatua kwa kuwalazimisha kujiuzulu mawaziri waliopwaya kwenye wizara zao mfano mdogo niMH MAGHEMBE NA MH KAWAMBWA
4 Ahadi alizotoa mwaka 2010 wakati wa uchaguzi hata asilmilia 40 hajafikia
5. kushindwa kumstaafisha mkuu wa jeshi la polisi kwa kushindwa kulinda raia na mali zao angalia issue ya ulimboka na kibanda ,milipuko ya mabomu,kuuwawa kwa viongozi wa dini
6. maisha bora aliyoahidi ametupa kinyume chake elimu mbaya, afya kubovu, maji tabu, mfumuko wa bei, nauli kupanda, umeme juu naona wananchi wako wamefurahi kwa kuwapa in reverse order.
NINGEKUWA MM NI MH RAISI KIKWETE NINGEJIUZULU URAISI KULINDA HESHIMA YANGU!