Ligi ya Zambia ilisimama tangu lini kwani? Tuanzie hapoHujui unachoongea wewe! Fuatilia! Jamaa wamepiga mechi nyingi sana za pre-season; mwisho last week walikuwa na mechi ya kirafiki, na wiki moja kabla ya hiyo, walikuwa pia na mechi ya kirafiki! Kwa haraka haraka hii ya leo ni karibu ya 5 kama sio zaidi
hamjifunzi kupitia makosa, mlishawahi kuwasifia kina karinyo mpaka mkawa beba lakini mwisho wake ni aibuSasa kama anaupiga, asisifiwe, au?
Duh! Kumbe unadhani Moses Phiri anayesifiwa ni mchezaji wa Yanga!!! Phiri ni striker wa Zanacohamjifunzi kupitia makosa, mlishawahi kuwasifia kina karinyo mpaka mkawa beba lakini mwisho wake ni aibu
Nilichokiandika na swali lako havihusiani kabisa. Swala la mchezaji mmoja kuwa mzuri haliingiliani kabisa na timu yake kuchukua ubingwa, ingekuwa ni hivyo kila team yenye walau mchezaji mmoja mzuri ingechukua ubingwa, sasa sijui ubingwa ungeenda kwa teams ngapi.ule msimu ambao alikuwepo yanga hivi simba ilichukua ubingwa?
ok so na msimu huu anaendeleza pale pale alipoachiaNilichokiandika na swali lako havihusiani kabisa. Swala la mchezaji mmoja kuwa mzuri haliingiliani kabisa na timu yake kuchukua ubingwa, ingekuwa ni hivyo kila team yenye walau mchezaji mmoja mzuri ingechukua ubingwa, sasa sijui ubingwa ungeenda kwa teams ngapi.
NB:Niikujibu swali lako, yes Simba Sc ilikuwa bingwa.
wamechomoa?Wazambia ni Watu waBad sana🤣🤣🤣
Uliza mashabiki wa Yanga wakupe majibu.ok so na msimu huu anaendeleza pale pale alipoachia
Wazambia ni Watu waBad sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani nimekuambia mechi za ligi wakati nimesema wazi ni pre-season matches?! Wewe umesema "...hapo wamefanya kuitana oya oya, twende Bongo", nami ndo nimekuambia wametoka kambini, na kabla ya hii mechi, wamepiga mechi za majaribio kibao!Ligi ya Zambia ilisimama tangu lini kwani? Tuanzie hapo
hahahahahaHuyu farid Mussa na yeye ajiangalie sana katika uchezaji wake na akumbuke nje kuna Dickson Ambundo na Deus Kaseke katika nafasi ile
Nipe matokeo hukoHahahahahahahahahahahahahaha
ikumbukwe kua wachezaji wengi wa yanga hawakua kwenye mpango wa kocha, nadhani lineup ya leo imesukwa na kina bumbuli na manara maana kocha aliomba miezi mitatu ya utulivu kuiweka timu kwenye mfumo wake ataoweza kuwamuduHivi Yanga huyo Zawadi Mauya anafanya nini uwanjani mpaka Sasa, au ni kwasababu alitufunga Simba?
Mauya ni garasa.