Mbna mnalaana nyinyi watu endeeleni na ushetani tuLove you more mke wangu mzuri mzuri [emoji8]
Ukweli lazima waambiwe japo unauma.
[emoji23]
Mtu unaheshima zako Jf anakuja na kauli chafu .Wewe mpuuze tu dadaUko timamu wewe?umeanzaje ku comment nilipo andika eti wadangaji? Jiheshimu kama dada zako ni wadangaji usitujumulishe wote.usirudie ku comment nilipoandika kama sija ku quote wewe plz, jiheshimu mimi ni mtu mzima siko stage/ wa type yako.
Umenikera wewe dogo hunijui sikujui from now where unaanza kuniita mdangaji? Aisee usirudie tena hiki kitu dogo.tuseme umepitiwa. Na nimekusamehe.
Si useme kama ni wewe, Muhindi kajilia vyake,Mbna mnalaana nyinyi watu endeeleni na ushetani tu
Juz Kuna jamaa angu aliambiwa na muhindi anamuomba amtuoe out kumbe alienda kumuomba abanduliwe
Mwenyekiti wa MashogaKumbe huyu pimbi ni shogaView attachment 2268127
Mbona kama naona matiti kifuani au macho yangu hayapo sawa nini ?Kumbe huyu pimbi ni shogaView attachment 2268127
Pipe tamuuuu, acha kabisaaa.
Hasa ile iliyopitia jando la porini, wee linakua la motooo afu rahaaa.
Kwahio na wewe unadinder?Emmanuel, jinsia yake ni "Me" ndo maana akaenda choo anachopaswa kujisaidia, nimekuuliza hivi, umewahi kuona Tom boy anaenda ktk choo cha kiume kujisaidia?
Unashindwa kujadili kwa weledi, unaanza kuhemkwa, ndo nilikuambia mda tatizo lenu hamtaki kukubali mnachohibiwa. Hapa umethibitisha mwenyewee.
Nani aliyekuambia shoga uume hausimami? Acha kuwa bitter calm down buddah, afu ukianza kuwa na lugha isiyofaa ndo utaharibu kabisaa, maana mie ndo ntaharibu zaidi yako.
Kwa kukusaidia tafuta Elimu ya ujinsia ili ufaidike na ubongo wako upate chakula. Relaaaaaaaaaaxxxxxxxxxxxx.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahaha my ribs, sasa wewe ni nani hadi unatoa amri eti upigwe vita mara moja,
Maskini mnajua kujifaraghua sana, katafute Mkate wa Watoto wako mambo ya Mashoga hutayaweza wala kuyamaliza,
Hizo Hasira zako ungezipeleka kwenye kufanya kazi ukuze Kipato chako.
[emoji23][emoji2380][emoji23][emoji304][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weraaaaaah weraaaaah.Eti anaamrisha Ushoga upigwe Vita mara moja [emoji1787]
Seriously nimecheka kwa nguvuuuuu
Mwenzio hapendi unavyotumia Emojis asije akakurushia kiatu babe wangu kaa nae mbali huyo [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio guest, yaan had lodge na Hotel watu wanaingia na wanageuzana vizuri kabisaa, tena full burudaaaan.Ha ha ha!!! Video hata utupie ngapi hazina issue, ila ingia gesti na mwanaume mwenzio uone shughuli yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa nguvuu, sasa si aweke faulo nayeye, anakwama wapi? Woiiiiiiiiiiiiianasema amechezewa rough... π π π
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu mmevurugwa nyie, wallah. Ndo uchumi wa kati enyewe, au Bajeti ya serikali?Hivo ni vizuri kuigwa kuliko mtoto kuiga ushoga. Maana hata shoga anaweza kufanya yote hayo. Hakuna shoga mtakatifu.
Achana nae huyo, m mpuuze kakataliwa na shoga tena humu JF, ndo maan yuko Bitter hivyo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na Machizi siku zote hua wanajuana,
Mambo Chizi [emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kupata futuhi hii, unabonyeza channel gan?Kmmk kumbe wee Ni punga sikujuwa aisee acha muuwawe tu hkn namna na www ipo siku utaingia kwenye 18 zangu nakumaliza mazima with my own hand
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babeeee mie sitakiii ujue,. Nacheka km mwehu hapa, afu kwa sauti woiiiiiihSi useme kama ni wewe, Muhindi kajilia vyake,
[emoji23]
Pole i hope hakua rough akakuumiza
Haikuhusu na wala hupaswi kujua. Vipi una swali jingine?Kwahio na wewe unadinder?
Si useme tujueHaikuhusu na wala hupaswi kujua. Vipi una swali jingine?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapeeeee shostieeee, wapeeeeee hawa watu. Wala hawatusumbui, mtu anakufata PM anakutongoza ukimtolea nje, hasira analeta jukwaani, anakuvamia kwa comments na replies zako bila sababuuu,Hivi kwanini Nyuzi za Mashoga zinakua na Wachangiaji wengi sana, mie najiuliza kama kitu hukipendi utaweza kweli kukiongelea, kuna IDs humu zimeshinda kwenye huu Uzi na kila Nyuzi za Mashoga hawakosekani na habari zenu ninazo mnajifanya mnakemea hapa hadharani ila mnawafata Watu Inbox ambao mnaona wanatetea na kuwatongoza, aibu iwe juu yenu na kizazi chenu,
Acheni Unafki nyie Wanaume ooh Shoga auliwe, anafirwa na nani mbona hamjisemi kama nyie ndio waharibifu namba moja wa hao Watoto,
Kuna lijitu usiku huu limekamatwa linamlawiti Mtoto mdogo Beach ya Feri Kigamboni, nikasema ukute limetoka kuandika unafki jf kua linachukia Mashoga likaenda kufanya ufirauni kwa Mtoto mdogo, Mungu kafichua uovu wake,
Wanaume ndio Wafiraji, Wabakaji, Walawiti, wadhalilishaji na ufirauni wote ila hawajizungumzii wanakandamiza wahanga,
Kuna Mijanamke mingine ipo humu humu inaficha ufirauni wa Waume zao, Watoto kila leo wanafanyiwa vitendo vichafu ila unakuta Familia zinawaficha Wahalifu, mnajua Trauma anayobaki nayo yule Mtoto?
Acheni unafki wenu Kunguni nyie, kwa hiyo ukishamuua Shoga wewe unaenda Peponi? Hiyo Dini yako inakwambia nini kwenye kutoa Uhai wa Mtu wewe ndio ulimpa Pumzi hadi Uitoe???
Wajaa laana wakubwa nyie, mna madhambi makubwa makubwa mnayawafanya gizani, wengine mnalala hadi Makaburini , wengine mnatoa kafara hadi Mama Zenu lakini likija suala la Ushoga mnajifanya mnauchungu sana na kusahau madhambi yetu, Mijusi ilokosa mikia nyie,
Kuna Mijitu mizima hovyo ishatoa Mimba hadi Madaktari wakiwaona wanawakimbia, visimi vimelegea kwa kuchokonolewa na mavyuma lakini likija suala la Ushoga wanajifanya watakatifu na kulaani Wenzao,
Hebu nipisheni mie [emoji57]