cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
1 kati ya hizo.Kwani wew ulieandika huu uzi wa kike au wa kiume??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1 kati ya hizo.Kwani wew ulieandika huu uzi wa kike au wa kiume??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie. Kuna kitu kinakusumbua poleeeeeh.Kuna lesbo niliwahi kukutana nae mahali akaanza kunileta mikato ya ki-meni yuko resi ile mbaya.
Nikamcheki kwanza halafu nikamwambia "sikia wewe kwangu mtoto wa kike usinilete upuuzi"
Akapaniki!![emoji2] Ile mbaya maana anajiona man kabjsa " nikamwambia una inchi ngapi huko down embu tuone[emoji2]" akaishia kusonya bonge la msonyo.[emoji1787]
Siku zikaenda ila siku hizi kawa mshikaji coz mimi sina tabu na hawa watu ila sikubali chaguo lao kuishi hivyo.
Yaani nakubali kutokubalina nao just peace tu[emoji3577]
Niko kinyume na kuwaua ni act against humanity.
They need psychological therapy na sio vinginevyo wengi wao wana depression sana wana commit suicide.
Wanajifanya gangway but wanaishi kimachale chale kama digidigi most of them wana self-doubt.
Usinilize nimejuaje..saikolojia nimesoma huko chuo. My level of pyschology perception iko so high ni rahisi kung'amua haya mambo.
Paragraph ya mwisho shostieeee, umesema haswaaa, kutwa kusumbua watu huko PM, utasikia "ya kule public yaache kule kule, hapa tupo wawili tyuuh mie na wee kuwa na amani". Jaman PM zinaona na kuficha mengiShoga anaoa kweli au ndio kujitoa ufahamu, mtoto kua shoga sio mwisho wa Maisha, atapata elimu, atafanya kazi au biashara ataishi kama any human being is supposed to live,
Mada inaenda kasi sababu watu kama nyie hamkosi kwenye mada kama hizi mnazengea kama Mbwa mwitu kaona Mzoga.
Kaka mmoja ambaye ni shoga anayefahamika kwa jina la Emmanuel, ameuawa baada ya kukutwa akijisaidia ktk choo cha wanaume.
Tukio hilo limetokea katika baa 1 Nchini South Africa, ambapo shoga huyo alikuwa akinywa pombe hapo, baada ya kubanwa na haja akaelekea chooni kujisaidia ambapo kinatumiwa na wanaume.
Ndipo akaingia mtu mwingine hapo chooni na kumkuta huyo shoga, akamuuliza anatafuta nini katika choo cha wanaume, shoga huyo wakati akiwa anatoa majibu, ndipo huyo mtu akaanza kumchoma na kisu tumboni, hali iliyopelekea damu nyingi kuvuja, na umauti umemkuta njiani akipelekwa hospitali.
Wakati tukio hilo linatokea kuna baadhi ya watu walikuwa wanashuhudia ila hawakutoa msaada wowote, hadi pale hali ilipokuwa tofauti.
Baadhi ya raia wa South Africa wametuma pole na salamu za rambirambi kwa familia ya Emmanuel, na wamelaani vikali kitendo hicho kwani sio cha kiungwana na sio cha kufurahisha, na ni jambo la kukemewa. Pia mtu aliyefanya mauaji hayo hajulikani alipo, japo hakuna hatua yeyote ya sheria iliyochukuliwa dhidi yake.
Ila jamani Waafrica mashoga wamewakosea nn lakini? Mbona mnawaandama sana? Kwani mkiwaacha wao wakaishi maisha waliyochagua mnapungukiwa nn? Kutwa kuwapiga, kuwaua, kuwabagua, kuwanyanyapaa, kuwatenga, hamuoni tabu? Hamjisikii vibaya? Hamuogopi? Inasikitisha mnoo. Ifike hatua kila mtu aishi maisha yake aliyochagua na sio kupangiana. Khaaah.
Pi na hawa baadhi ya mashoga wa ki Africa nao wanajisahau sana, wanajua wazi kwamba ktk bara letu nchi karibu zote hawatakiwi na bado haijawa rasmi utambulisho wao, lakini kutwa kujifaragua na kujishaua mbele ya jamii, ili tyuuh waonekane na wao wapo, ndo wanaishia kukutwa na haya masaibu, mtu unajijua n mlevi kwann usinunue Pombe zako ukakaa kwako ukanywa? Tena kwa uhuru kabisaaa, huko bar wanatafuta nn? Haya wengine km hapa kwetu Bongo wao ni shughuri na parties hadi wanakamatwa wanapigwa wee na kudhalilishwaaa, shida yote ya nn? Kwan usitulizane na maisha ya upekee kwani lazima kuchangamana na watu, si una balance tyuuh shoboo zako. Mara wengine kujitongozesha kwa wanaume straight, yaan ni tafrani tupu. Inauma.
Kwa tukio hili, nategemea kuona shirika la haki za binadamu hasa kutoka UN litoe tamko na lichukue hatua stahiki kulingana na husika, pia sheria ichukue mkondo wake ilk kukomesha tabia mbovu ya unyanyasi na ukatili dhidi ya mashoga.
Kila binadamu ana uhuru wa kuishi vile atakavyo ili hali asivunje kanuni, taratibu na sheria za nchi.
......
View attachment 2266053
Kumbe wanakusumbuaga huko pm eeeehParagraph ya mwisho shostieeee, umesema haswaaa, kutwa kusumbua watu huko PM, utasikia "ya kule public yaache kule kule, hapa tupo wawili tyuuh mie na wee kuwa na amani". Jaman PM zinaona na kuficha mengi
Mbavu zangu mie, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaonaje kama ungetumia muda wako kuelewa nilichosema?Kwani kuna aliyekulazimisha kuwa shoga , au unahamu ya kuwa shoga , msipangie watu jinsi ya kuishi , you have no authority ya kumpangia mwingine jinsi ya kutumia mwili wake , somebody can be A lesbian A gay A bisexul A Transgender A Qui , who the JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala are we to gudge somebody ?
Relax kijana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie. Kuna kitu kinakusumbua poleeeeeh.
Yaan una haha hadi huruma.
Relaaaaaaax wee.Relax kijana
Haramu kwa nani?Haramu haiwezi ikabadilika na kua halali hata siku moja.
Nawee pia ni msumbufu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe wanakusumbuaga huko pm eeeeh
Akikujibu nitag.Haramu kwa nani?
Kama sio shoga anauza mashogaWewe mtoa Uzi ni jinsia gani mkuu
Unataka kuwa mteja? Weka order mapemaa, dau ni kuanzia 100[emoji765].Kama sio shoga anauza mashoga
Weeeeeeeee thubutuuuuuuuuuuNawee pia ni msumbufu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ninunue mimavi yenye laana kwa dollars??Unataka kuwa mteja? Weka order mapemaa, dau ni kuanzia 100[emoji765].
Hii ni kweliUshoga unatoa akili.
Kwa mwenye akili timamu huwezi kua shoga halafu bado ukawa unajionesha wazi huku ukijua wazi jamii haipendezwi na hiyo tabia.
Kama sio kutokua na akili timamu ni nini hiko.
Shoga hana haki ya KUISHI ni KIFO tuuKwahiyo suluhisho ni kuua?
Kabsa mleta mada nae ndie nnJana jioni (juma2) hapa chuo fulani Morogoro nacheki game uwanjani nikaona mapunga mawili yamelegea kama mlenda mood ya game ikakata nikaondoka pale. Sikuwahi kuona punga kwa karibu! Kumbe nami ilitakiwa nichukue hatua stahiki! Naanza kutembea na jambia sasa.
Bado zamu yako wewe mleta mada