Matukio ya Ushoga duniani

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mbavu cna, uko timamu wee?
Poleeeeeeh.
 
Uliwajuaje kama ni Mashoga??
Kulegea kwao ushapigia mstari kua ni mashoga?
Wewe ukiona wanaume wamevaa blauzi wanaitana aunt fulani (majina ya kiume), na mapozi ya kike, kujua kama ni mashoga utahitaji hadi uletewe mganga wa kienyeji apige ramli?
 
Shoga mkuu tz ni ccm tu ...kama kumuua huyo mimi naunga mikono ccm ndiyo laana yenyewe ..kila ukimwona mtu wa ccm mmoja ni sawa sawa na mashoga 1000
Tutokomeze hii takataka CCM
 
Huo ndiyo ukweli kamili ...miungu ya ubasha duniani na tanzania ni VIONGOZI WA DINI ,VIONGOZI WA SERIKALI,MATAJIRI KAMA KINA BARESA, NK arafu wanakuja hapa kujidai wana laani mashoga wakati wao ndiyo MABASHA
 
TATIZO NI MABASHA SIYO MASHOGA HUO NDIYO UKWELI KAMILI HATA VITABU VYA DINI VINAFUNDISHA HIVYO ...hao mashoga unao waona watu wazima wamealibiwa utotoni na mabasha ....ichi kinacho tokea cha kuwashutumu mashoga ni sawa sawa na kesi aliyo letewa YESU kwenye biblia ya mwanamke mzinzi kuhusu hukumu ya musa ...yesu alikataa hiyo kesi sababu ni unafiki mtu anakuwaje mzinzi yeye pekeyake wakati ni kitu kinacho tokana na mtu zaidi ya mmoja ....hivyo kila ukiona shoga mmoja ujue kuna mabasha mia100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…