Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
huyo mtoto atakua akiamini mashoga ni wanadamu wazuri tu na ushoga ni kitu kizuri tu na si ukute na yeye akaamua kuwa shoga kama hao mashoga watakaomlea. Hamas nao sijui kwanini wasiwe selective, Israel tunaipenda ila hawa jamaa wanalichafua sana taifa la Mungu.Shoga hilo la kizayuni kutoka taifa teule la Israel Benjamin Cohen ambaye ni founder wa "PinkNews"na mmewe Anthony James wameasili mtoto mchanga.
Cc. wana wa israeli wa Tanzania.
Kujeni hapa kumpongeza mwenzenu. View attachment 3005863View attachment 3005862
Wafia dini mpo vizuri kipropagandaShoga hilo la kizayuni kutoka taifa teule la Israel Benjamin Cohen ambaye ni founder wa "PinkNews"na mmewe Anthony James wameasili mtoto mchanga.
Cc. wana wa israeli wa Tanzania.
Kujeni hapa kumpongeza mwenzenu. View attachment 3005863View attachment 3005862
Aibu hizi sijui wanadamu tutaziweka wapi,duh!Kwa kweli Mungu hatavumilia uovu huu zaidi, very soon atashusha ghadhabu Yake kwa wanadamu.Shoga hilo la kizayuni kutoka taifa teule la Israel Benjamin Cohen ambaye ni founder wa "PinkNews"na mmewe Anthony James wameasili mtoto mchanga.
Cc. wana wa israeli wa Tanzania.
Kujeni hapa kumpongeza mwenzenu. View attachment 3005863View attachment 3005862
Wana wa Mungu lazima wachukie dhambi mkuu,popote pale ilipo,ndivyo Mungu alivyo tuamuru.Anayehukumu ni Mungu
Wewe kinachokusumbua nini? Kama mtu kwa akili zake kaamua kuchanwa malinda unamwacha unaendelea na mishe zako Mungu ndiye atakayeamua!
Naichukia kweli then? Niwastorm au? Namwachia Mungu atawahukumuWana wa Mungu lazima wachukie dhambi mkuu,popote pale ilipo,ndivyo Mungu alivyo tuamuru.
Sasa hii post yako ina mchango gani kwenye ujenzi wa Taifa la Tanzania? Lengo lako ni nini?
Ndio maana maandiko matakatifu yanasema amelaaniwa mtu yule afanyaye maovu mbele ya watotohuyo mtoto atakua akiamini mashoga ni wanadamu wazuri tu na ushoga ni kitu kizuri tu na si ukute na yeye akaamua kuwa shoga kama hao mashoga watakaomlea. Hamas nao sijui kwanini wasiwe selective, Israel tunaipenda ila hawa jamaa wanalichafua sana taifa la Mungu.
Narudia,Mungu ametuamuru kuchukia dhambi,ziwe za kwako au za watu wengine.Ukishaichukia dhambi, you do not storm evil doers,no,instead you pray for them and if you can reach out for them, washuhudie na kuwaonyezsha the right path.Naichukia kweli then? Niwastorm au? Namwachia Mungu atawahukumu
Swali zuri sanaNi jambo lipi linashuhudia kuwa hao watu ni "mashoga"?
Umewahi sikia kiongozi halali wa kiislam elewa maana ya kiongozi halali akishupalia ushoga kama viongozi wenu wa kianglican na kikatoliki!?Mishoga ya kiislam imepata sehemu ya kueneza ushoga wao
So ni sawa kumuua shoga,no sio.Ukiua shoga huna tofauti na anayefanya ushoga,wote mnefanya dhambi mbele za Mungu.What do you need to do,muombee,show him the right path,ili aache uovu wake,that is the way.Kumuua sio suluhisho.Mwenye mamlaka ya kutoa roho ya binadamu ni MUNGU tu.Umewahi sikia kiongozi halali wa kiislam elewa maana ya kiongozi halali akishupalia ushoga kama viongozi wenu wa kianglican na kikatoliki!?
Katika uislam ukibainika shoga ni PANGA LA SHINGO MPAKA KICHWA KIANGUKE.
MSAGAJI UNAFUNGIWA BILA CHAKULA NA MAJI MPAKA UFE.
Hatutaki ujinga sisi.
Wakiguswaga huwa wankuwa wakali, utasikia wanasema ni mambo ya mitandao lakini hao sio waisrael. Lakini ukizungumziwa ugaidi kufungamana na uislamu wanakuja mbio kuunga mkono.Shoga hilo la kizayuni kutoka taifa teule la Israel Benjamin Cohen ambaye ni founder wa "PinkNews"na mmewe Anthony James wameasili mtoto mchanga.
Cc. wana wa israeli wa Tanzania.
Kujeni hapa kumpongeza mwenzenu. View attachment 3005863View attachment 3005862
🤣🤣 umepaniki sanaMishoga ya kiislam imepata sehemu ya kueneza ushoga wao
He/She has a dual citizenship (like many other Zionist)Benjamin Cohen is a British web developer, entrepreneur and online publisher
Sheria hutofautiana mkuu.So ni sawa kumuua shoga,no sio.Ukiua shoga huna tofauti na anayefanya ushoga,wote mnefanya dhambi mbele za Mungu.What do you need to do,muombee,show him the right path,ili aache uovu wake,that is the way.Kumuua sio suluhisho.Mwenye mamlaka ya kutoa roho ya binadamu ni MUNGU tu.
Najua ni Imani yenu,lakini si imani sahihi.Hata common sense tells you that anaye uwa na shoga wote ni wadhambi mbele za Mungu.Mungu kasema "usiue."Sheria hutofautiana mkuu.
Kwa imani yetu kuna makosa/dhambi za kuvumilika na kurekebishika taratibu,ila hili na ushoga linaloenda kinyume na uumbaji wa Mungu sio la kuvumilika.
Ni la kupitisha adhabu kali ili kuweka somo kwa wengine.
Ndio maana hata Mungu aliiangamiza Sodoma na Gomora,maana hii ni dhambi yenye LAANA iliyopitiliza.
Aiseee!Najua ni Imani yenu,lakini si imani sahihi.Hata common sense tells you that anaye uwa na shoga wote ni wadhambi mbele za Mungu.Mungu kasema "usiue."
Halafu ninyi Waislamu hamna budi kujua kwamba God is so holy,that kwake hakuna dhambi kubwa na ndogo.To Him kusema uongo na kuua ni sawa,tu because He does not tolerate the slightest of wrong doing.